Sasa mkuu ajali imeonekana kwenye CCTV, wew unadhani wakisema kafa yule italeta taharuki gani kwa jamii?Ile impact ni Kubwa sana ngumu kutoboa,wanachofanya MNH ni kubuy time kwanza maana wakitoa taarifa za kifo hapo hapo italeta taharuki,wana JF wengi ni rahisi sana kudanganywa ,wao kila kitu wanameza wala hawadigest...irudie tena na tena ile CCTV video kwanza.
Sasa mkuu ajali imeonekana kwenye CCTV, wew unadhani wakisema kafa yule italeta taharuki gani kwa jamii?
Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Mkuu yule jamaa aliyekupokea kule Tabata ndo ndugu yako, ndugu sio mpaka mzaliwe tumbo moja, ndugu ni yule ambaye anaweza toa taarifa zako pale upatapo matatizo kama ya uyo majeruhiAcha kukariri mkuu.
Wala hata usiende mbali, mimi niko mjini hapa ila ukinipatia milioni kumi kwamba nikupeleke kwa ndugu yangu hapa dar hiyo hela nitaikosa.
Jamani tusiishi kwa kukariri mambo, wengine tumekuja kufungua njia kwa ajili ya ndugu zetu walioko Kazuramimba Kigoma.
siyo wote tuna ndugu hapa mjini.
Mbona Lisu alipona kaka?Ile impact kubwa sana hawezi kupona.
Mbona Lisu alipoka kaka?
kwa mujibu wa ile taarifa rasmi ya polisi imemtaja mtembea kwa miguu kwa jina moja la ismail.
nadhani taarifa nyingine zitatolewa.Kama waliweza kujua hadi jina kwamba anaitwa ismail inakuwaje washindwe kujua majina yake mengine?
basi kama hiyo ndiyo maana ya ndugu, hata huyo majeruhi wale waliompeleka Muhimbili ndiyo ndugu zake.Mkuu yule jamaa aliyekupokea kule Tabata ndo ndugu yako, ndugu sio mpaka mzaliwe tumbo moja, ndugu ni yule ambaye anaweza toa taarifa zako pale upatapo matatizo kama ya uyo majeruhi
Wale waliompeleka muhimbili waliwahi kuishi na majeruhi kabla? Wanajua mahali anapotoka au kuzaliwa?basi kama hiyo ndiyo maana ya ndugu, hata huyo majeruhi wale waliompeleka Muhimbili ndiyo ndugu zake.
Staff wa MOI hawapo JF wala hawaishi na sisi mitaaniIle impact ni Kubwa sana ngumu kutoboa,wanachofanya MNH ni kubuy time kwanza maana wakitoa taarifa za kifo hapo hapo italeta taharuki,wana JF wengi ni rahisi sana kudanganywa ,wao kila kitu wanameza wala hawadigest...irudie tena na tena ile CCTV video kwanza.
sasa mkuu mbona unajifunga mwenyewe?Wale waliompeleka muhimbili waliwahi kuishi na majeruhi kabla? Wanajua mahali anapotoka au kuzaliwa?
Aisee jamani nikichekigi comments zako na ile story uliotoaga hapa jf wakati unatoka kigoma sijawahi kuamini hadi nilivyoona umecoments hapa leo.Acha kukariri mkuu.
Wala hata usiende mbali, mimi niko mjini hapa ila ukinipatia milioni kumi kwamba nikupeleke kwa ndugu yangu hapa dar hiyo hela nitaikosa.
Jamani tusiishi kwa kukariri mambo, wengine tumekuja kufungua njia kwa ajili ya ndugu zetu walioko Kazuramimba Kigoma.
siyo wote tuna ndugu hapa mjini.
Yule Jamaa aliyekaa kwenye kiti akili yake ilikuwa fasta sana kuchakata kitakachojiri maana alianza kukimbia mapema sana.Majeruhi akitengamaa na akarudi Tena Duniani aonyeshwe lile tukio jinsi ilivyokuwa.
Wanasayansi eti wanasema angekimbia kurudi atokako angenusurika.
Italeta taharuki kwa nani?hapo hapo italeta taharuki,wana JF wengi ni rahisi sana kudanganywa
Aisee jamani nikichekigi comments zako na ile story uliotoaga hapa jf wakati unatoka kigoma sijawahi kuamini hadi nilivyoona umecoments hapa leo.
Maana unavyotoa mawazo yako hapa ni sawa na mtu wa chuo kikuu, mi nilijuaga kwenye ule uzi we ni muongo,
King Kong III unasomaga comments za huyu jamaa
Ngoja ntacheki au hata mwenyewe atakutumia maana hafichigi kitu, jamaa ni muwazi halafu ni kichwaHuenda nasoma ila labda sijakariri jina,huo uzi wa kutoka kigoma ulinipita aisee.
Italeta taharuki kwa nani?
Watz mnapenda sana kuamini taarifa za udaku ndio maana yule jamaa mnamwita kigogo aliweza sana kuwachota akili.Mara amekufa maskin Mungu amuaf apone haraka
Mwendokas wagharamie kumtibu na kumlipa fidia