MOI: Mwanaume aliyegongwa na Basi la Mwendokasi yuko ICU

Watu wataanza kuilaumu serikali maana tukio la kifo linaleta "sympath" kwahiyo wachangiaji watakuwa wanaendeshwa kwa mihemko ,ukizingatia ajali ilihusisha UDART na RwandaAir zote taasisi kubwa.

Lakini ukisema hakuna kifo na watu wanatulia.
Sawa lakini hayo ni mawazo yako, sio ya watu unaweza ukawa sawa au laaah
 

Mwendokasi lingekua kwenye mwendo wake madhara yangekuwa makubwa zaidi

Alikua mwendo wa kawaida ila jamaa wa gari ndogo ndo alikua amewaka
 
Huna Akili.
 
Bwana Muliro nikurekebishe kidoogo kwenye chanzo cha ajali. Ni speed kubwa ya mwendokasi pamoja na uyo dereva wa gari dogo. Though speed kubwa ya mwendo kasi inaweza ikatetewa

Kipande cha Ferry hadi DIT sehemu ile inabidi watembee na 40....Kweli UDART na yenyewe ilikuwa imewaka.
 
Jina lenyewe linaitwa mwendokasi

Ova
 
sasa mkuu mbona unajifunga mwenyewe?
Unaponiambia mimi kuwa jamaa aliyenisaidia kule tabata ndiyo ndugu yangu, amewahi kuishi na mimi kabla.
1. Jamaa alikupokea baada ya kujieleza hapa Jf kuwa unatokea Kigoma na unakuja Dar
2. Ulivyoenda kwake naamini alikuuliza baadhi ya maswali kuhusu wewe na ukampatia, hiyo inafanya mpokeaji kukufahamu kiasi kwamba kama lingetokea jambo basi angekuwa na taarifa zako.

Sasa fikiria hao waliompeleka majeruhi hospitali wanataarifa za uyo majeruhi zakutosha mpaka wamuite ndugu?
 
kwa ajali ile ilitegemewa kuwa hali mbaya.Mungu wa rehema amjaliye afya majeruhi.
 
Naomba Serikali kama atatengamaa wampatie hata 20m ili aanizie maisha. Wasipofanya hivyo, watakua wamemuongezea umaskini
 
Vipi Mh Mvungi ,unaweza kutupa update ya maendeleo ya Mgonjwa Ismail aliyekuwa ICU?
 
Yule dereva wa Rav 4, anatakiwa apigwe marufuku kuendesha gari. Maana hana sifa ya kuitwa dereva.
Kwa nini? Pale kuna shida. Hakuna tahadhari yoyote. Ukipita tu eneo lile unajua kabisa ni accident area.
 
Kwani si ananida si ina Finger print. Ni vile Tanzania imesinzia sana yani hata kama majibu tunayo tunagoma kuyatafuta
 
Kwa Picha niliyoiona akipona ( akiwa Hai ) naenda Kujisaidia kwa Makusudi Haja Kubwa ( Kupupu ) Getini MP 1 Lugalo Makongo au Geti Kuu Magogoni Dar es Salaam au Chamwino Dodoma.
Umeanza kujifunza uchawi kijana mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…