MOI watoa tamko kuhusu uvunjifu wa maadali uliofanywa wodini. Mgonjwa aomba radhi

MOI watoa tamko kuhusu uvunjifu wa maadali uliofanywa wodini. Mgonjwa aomba radhi

Sasa video ikitumwa mtandao wa kijamii si ndio watu wengine wanajifunza?
Tunataka nini? Falsafa ya "what you see in Las Vegas stays in Las Vegas?"
Au tazama sakata la Muuguzi kuosha vifaa vya hospital in the wrong way. Nadhani watu wote wamepoteana huko katika medical proffession. Wanashindwa kutazamana usoni. Nasikia video ilipokuwa recorded watu walisikika wanasema,"Tazama wanavyotua"


Siku moja nilikuwa natembea mjini,nikapita maeneo ya Kariakoo,nadhani pale pale DDC, I went to the public toilet to piss.

Sasa pale at the urinary for men,alikuwepo huyu mtu ( this most probably uneducated person),and he was standing there pissing at this urinary.

Sasa,dhakari yake ,for some reason,some affliction,ilikuwa inawasha,inamuwasha,kwa hiyo alikuwa anaisugua pale pale kwenye kuta za ile urinary kama kujikuna muasho. It was unthinkable. Ile ehemu chafu,eti anatumia kujikuna.

Nikawa nafikiria tumesikia hadithi za wafalme wa zamani,kama vile Haroun Al Rashid,ambao walikuwa wanatembea in disguise in their kingdom kutazama what is going on. Nikawa nafikiria kuna tatizo hapa:wale watu ambao wana responsibility ya kumueleza huyu mtu kwamba anachofanya ni unhealthy,hajamwambia hivyo.

Baada ya mbili,baada ya siku chache Sarungi akaachishwa kazi. Sarungi ndie alikuwa waziri wa afya.
Sio kama vile mimi nilikwenda kushtaki kwa rais Ali Hassan Mwinyi. Lakini that is what happened.
 
Hawa watu wanaorekodi faragha za watu kwa siri na kuzisambaza mitandaoni akili zao huwa haziko sawa. Kulana denda, kupigana mabusu na mpenzi ni popote pale mkikutana hiyo ndiyo inakuwa salamu kuu ndiyo mengine yafuate.

Ikumbukwe pia huwezi kumpiga kiss mpenzi kama ni mgonjwa sana anaugulia maumivu au ana homa kali kiasi kwamba mwili hauwezi kujisikia vizuri kufanya mambo mengina ya kihisia. Ipigwe marufuku kwa yeyote kuingia na simu au kamera wodini walikolazwa wagonjwa bila shughuli maalumu
 
Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imetoa ufafanuzi kuhusu uvunjifu wa maadili uliofanywa na Mgonjwa (jina limehifadhiwa) na anayedaiwa kuwa Mpenzi wake (jina limehifadhiwa) ndani ya wodi (3A) siku ya Jumapili mchana tarehe 9/07/2023 ambapo katika uchunguzi wa awali mgonjwa amekiri kufanya tendo la busu la midomo na ndimi na Mpenzi wake katika mazingira ya kuumwa ndani ya Hospitali kitu ambacho ni kinyume cha maadili ya kitanzania.
Eti video ikazua taharuki....
Denda linazuaje taharuki..
😂😂😂😅😂😅😂😂😂....

Hii nchi aisee..
 
Sioni shida ikiwa mmoja kati yao sio mtumishi wa hapo. Ingekuwa kidigo sio maadili ya utumishi kama angekuwa mmoja ni mtumishi wa hapo MOI lakini kama ni wateja tu haina shida bali ni wivu tu wa huyo mgonjwa wa pembeni.
Haina shida kabisa ..shida ni lile takle lililorekodi...

By the Way that girl is a good kisser.
 
“Uchunguzi zaidi umebaini pia wakati vitendo vinaendelea kuna Mgonjwa jirani (jina linahifadhiwa) ambaye alisharekodi video, Menejimenti ya MOl inalaani kitendo hicho cha uvunjifu wa maadili kilichofanywa na Mgonjwa huyo pamoja na Mpenzi wake, vilevile Menejimenti inalaani na kukemea kitendo cha kurekodi video wodini na kutuma kwenye mitandao ya kijamii kilichofanywa na Mgonjwa jirani”
Ughaibuni unakuta Mwl anafundisha darasani, wanafunzi wanaendelea, Mwl haruhusiwi kuingilia shughuli hiyo
 
Hanna cha wivu wala nini sema watu mnaendekeza ujinga kila sehemu...hamjui sheria na taratibu za hospitalini? Mnajitoa ufahamu kwa kutetea ujinga. Pumbavu sana hii if ya kizazi hiki
Ujinga ni aliyerecord na kupeleka mitandaoni baada ya kutoa taarifa kwenye menejiment ya hospital hisia ni kitu kigumu sana kukizuia
 
Back
Top Bottom