MOI watoa tamko kuhusu uvunjifu wa maadali uliofanywa wodini. Mgonjwa aomba radhi

MOI watoa tamko kuhusu uvunjifu wa maadali uliofanywa wodini. Mgonjwa aomba radhi

Wivu ni Kidonda kmmmk [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yeye kama hana mtu wa kumla denda si angetulia tu. Hadi arekodi video asambaze online? Roho ya kichawi sana hio.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] itakuwa chanzo cha kuvunjika kwake kuna sehemu alikuwa anatafuta mambo yasiyomuhusu.
 
Hahahah yani uchawi full. Bongo kwa uchawi na wivu tuna 100%!!!

Mtu ukionekana una enjoy maisha tu lazma uletewe zengwe yote hio ni wivu tu. Utarogwa tu bila sababu ili tu usiendelee kuinjoy [emoji1787]

Ndio yale yale unagonga mpenzi wako kwenye gari yako anatokea mtu anawagongea vioo.

Na wewe kwann ufanyie kwenye gari? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
umeambiwa hairuhusiwi siyo maadili, au umezoea ubishi. Hivi watanzania wengi ni kwamba mnaumwa akili au ni nini, wahusika wanakuambia hairuhusiwi we unauliza kwani ina shida gani? bila hata aibu.
Hairuhusiwi kwa sheria ipi?
 
Menejimenti ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imetoa ufafanuzi kuhusu uvunjifu wa maadili ulivofanywa na Mgonjwa (jina limehifadhiwa) na anayedaiwa kuwa Mpenzi wake (jina limehifadhiwa) ndani ya wodi (3A) siku ya Jumapili mchana tarehe 9/07/2023 ambapo katika uchunguzi wa awali mgonjwa amekiri kufanya tendo la busu la midomo na ndimi na Mpenzi wake katika mazingira ya kuumwa ndani ya Hospitali kitu ambacho ni kinyume cha maadili ya kitanzania.

“Menejimenti imebaini kwamba Mpenzi wa Mgonjwa huyo si Mtumishi wa Taasisi ya MOl, aidha tukio hilo liligunduliwa na Muuguzi aliyekuwepo wodini ambapo alichukua hatua ya kuzuia Wahusika kuendelea na kitendo hicho a Menejiment inaendelea kuchukua hatua zaidi kwa Wahusika”

“Uchunguzi zaidi umebaini pia wakati vitendo vinaendelea kuna Mgonjwa jirani (jina linahifadhiwa) ambaye alisharekodi video, Menejimenti ya MOl inalaani kitendo hicho cha uvunjifu wa maadili kilichofanywa na Mgonjwa huyo pamoja na Mpenzi wake, vilevuls Menejimenti inalaani na kukemea kitendo cha kurekodi video wodini na kutuma kwenye mitandao ya kijamii kilichofanywa na Mgonjwa jirani”

“Matukio haya yote ni kinyume na mwongozo wa Wizara ya Afya unaozuia kufanya matendo ya uvunjifu wa maadili kwa mgonjwa na kurekodi video wodini, Menejimenti inaendelea kuchunguza zaidi tukio hili ili kujiridhisha kuwa hapakuwa na uzembe katika kusimamia usalama wa Wagonjwa wakati Ndugu wanawatembelea Wagonjwa wodini.

cdrt :Ayo tv
1.jpeg
 
Tatizo hapo siyo kumla denda

Tatizo ni hiyo video kusambaa

Ova
Kwani hata WASAFI TV si wanaonyesha za kina zuchu na Diamond wanakulana denda kwa karibu zaidi kuliko hii?
mi naona hoja ni , je baada ya Dada kumla Denda mgonjwa,lazma aliloa, je nani alienda kummalizia hamu yake?
 
Back
Top Bottom