Moja ya hasara ya kuoa, ni mke kukukasirisha hadi unashindwa kufanya kazi au kuvurunda

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
783
Reaction score
3,666
Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi.

Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake, ukiona mtu anamsifia sana mke wake, huyo ni muongo, ni either ndoa ni changa au hajaoa kabisa huyo. kila mwanaume alieoa na kukaa nyumba moja na mwanake kwa atleast miezi sita na kuendelea, anajua mziki wake.

Ni kwa moto wadau asikwambie mtu.
 
Inatokana na ww mwenyewe kumuweka mke kama emotional support. Ukiweza kumtenganisha mke na kazi unakuwa next level
 
Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi.

Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake, ukiona mtu anamsifia sana mke wake, huyo ni muongo, ni either ndoa ni changa au hajaoa kabisa huyo. kila mwanaume alieoa na kukaa nyumba moja na mwanake kwa atleast miezi sita na kuendelea, anajua mziki wake.

Ni kwa moto wadau asikwambie mtu.
Hii imekaa kama MiXX by Nyash
 
Umeshayakanyaga tayari.

Haya pambana kivyako mzee.
 
Sasa kama mwanamke anakukera hadi nyumba yako mwenyewe unaikimbia ni wa nini huyo, badala ya wewe kukimbia nyumba yako wewe mfukuze ukae kisela tu
 
20250224_143534.jpg
 
Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi.

Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake, ukiona mtu anamsifia sana mke wake, huyo ni muongo, ni either ndoa ni changa au hajaoa kabisa huyo. kila mwanaume alieoa na kukaa nyumba moja na mwanake kwa atleast miezi sita na kuendelea, anajua mziki wake.

Ni kwa moto wadau asikwambie mtu.
Unameza hivyo hivyo na moto wake mkuu,vinginevyo utautema uache watoto wako wakiteseka...
 
Back
Top Bottom