Moja ya hasara ya kuoa, ni mke kukukasirisha hadi unashindwa kufanya kazi au kuvurunda

Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi.

Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake, ukiona mtu anamsifia sana mke wake, huyo ni muongo, ni either ndoa ni changa au hajaoa kabisa huyo. kila mwanaume alieoa na kukaa nyumba moja na mwanake kwa atleast miezi sita na kuendelea, anajua mziki wake.

Ni kwa moto wadau asikwambie mtu.
Kataa ndoa hadi sasa wanaongoza bao 4
 
Ukiamua kuoa kamwe usimuweke mwanamke akilini , ishi nae kama unaishi na dada wakazi.
 
Back
Top Bottom