Inatokana na ww mwenyewe kumuweka mke kama emotional support. Ukiweza kumtenganisha mke na kazi unakuwa next levelMsione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi.
Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake, ukiona mtu anamsifia sana mke wake, huyo ni muongo, ni either ndoa ni changa au hajaoa kabisa huyo. kila mwanaume alieoa na kukaa nyumba moja na mwanake kwa atleast miezi sita na kuendelea, anajua mziki wake.
Ni kwa moto wadau asikwambie mtu.
Hii imekaa kama MiXX by NyashMsione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi.
Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake, ukiona mtu anamsifia sana mke wake, huyo ni muongo, ni either ndoa ni changa au hajaoa kabisa huyo. kila mwanaume alieoa na kukaa nyumba moja na mwanake kwa atleast miezi sita na kuendelea, anajua mziki wake.
Ni kwa moto wadau asikwambie mtu.
Umeshayakanyaga tayari.Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi.
Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake, ukiona mtu anamsifia sana mke wake, huyo ni muongo, ni either ndoa ni changa au hajaoa kabisa huyo. kila mwanaume alieoa na kukaa nyumba moja na mwanake kwa atleast miezi sita na kuendelea, anajua mziki wake.
Ni kwa moto wadau asikwambie mtu.
Hapo ni wachache wanaweza kukuelewa na wakielewa wamepona.Inatokana na ww mwenyewe kumuweka mke kama emotional support. Ukiweza kumtenganisha mke na kazi unakuwa next level
Kwani we mwanaumePole sio wote wanapitia huo moto
Kwa hio wewe ukipata mwanamke mbovu ndio unaamini kila mwanaume ana mwanamke mbovu?Kwani we mwanaume
Wewe huwezi jua maana ndiyo moto wenyewePole sio wote wanapitia huo moto
Kıla mwanamke ana moto wake, mwingine ni Kulalamika! Mwingine anahisi una Mchepuko mpaka majanga! Hii inatokana na insecurity ya ndugu zetuKwa hio wewe ukipata mwanamke mbovu ndio unaamini kila mwanaume ana mwanamke mbovu?
Sasa kama mwanamke anakukera hadi nyumba yako mwenyewe unaikimbia ni wa nini huyo, badala ya wewe kukimbia nyumba yako wewe mfukuze ukae kisela tuMsione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi.
Kila mwanamke anajoto lake, anakuvuruga kwa namna yake, ukiona mtu anamsifia sana mke wake, huyo ni muongo, ni either ndoa ni changa au hajaoa kabisa huyo. kila mwanaume alieoa na kukaa nyumba moja na mwanake kwa atleast miezi sita na kuendelea, anajua mziki wake.
Ni kwa moto wadau asikwambie mtu.
Unameza hivyo hivyo na moto wake mkuu,vinginevyo utautema uache watoto wako wakiteseka...Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa moto mdomoni, kumeza huwezi kutema huwezi.