GE2025 Moja ya impacts za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi zaanza kuonekana sasa

GE2025 Moja ya impacts za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi zaanza kuonekana sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
hakutakuwa na hiyo scenario, kwa sababu waliokuwa wabunge wa CHADEMA, wengi wanagombea ubunge na udiwani kupitia vyama vingine, ni rahisi sana watu kuisahau CDM, na sasa haizungumziwi kabisa, na maisha yanaendelea
Sawa wanagombea ,,kupitia vyama gani?nyie chadema ni imani siyo mtu,,ingekuwa chadema ni chama dhaifu kama mnavyofikiria basi dola wala wasingehaika nacho,,
 
Chadema ndo ilikuwa inatia wagombea hofu wa vyama vingine.kwa kutokushiriki sasa imefungulia kila mtu ambaye anajua atagombea kupitia CCM atashinda bila wasiwasi.

Na wakati huo huo vyama vingine vya upinzani vinaona hii ni nafasi ya wao kuweza pata wabunge kwa kuwa ni wazi kuna majimbo ambayo wataachiwa ili kuweza balance kidogo shughuli za kibunge.

Sasa every Tom , Dick and Harry wants to be a MP. Na watu wa CCM na vyama rafiki wanafurahia kuwa hili libaki kama lilivyo kusiwe na mabadiliko kutoka NRNE ibaki vivyo hivyo.
Hakuna chama ambacho kitaachiwa wabunge wakuchaguliwa ila watapewa wabunge wa viti maalumu kwa sababu watafikisha asimia tano za kura za wabunge hata wasipofikisha. Vyama kama Chauma ,Cuf,Nccr.Hivi vyote vitapata wabunge wa viti Maalumu kule Zanzibar ACT watarudishiwa viti vyao vitatu, kama ikiwaprendeza.La sivyo safari hii walivyo poa wanaweza wasiambulie kitu.
 
Mkuu inaweza kuwa hivo usemavyo. Lakin jambo gumu zaid ni kwamba je, dereva aliye shikilia usukan atakubali kuwa zama zake zimesha aachie gari arudi kukaa siti ya nyuma?
Au ataliangusha gari kuliko kuachia uskani?
Maana nikama dereva(mwajiriwa) anajiona kuwa bosi wa mmiliki wa gari (mwajiri wake).
Uko sahihi. Lakini ukweli utajulikana tu na iko siku ataachia tu usukani. Akiliangusha gari, mwenye gari atanunua nyingine. Kitu muhimu ni kumkumbusha kila siku kuwa hilo gari sio lake. Kukata tamaa na kumsusia gari linaweza kumfanya hata aliuze akijisikia kufanya hivyo.
Mimi bado naamini CDM ilikurupuka. Ule uchaguzi uliacha majeraha makubwa na ilitakiwa wajipe muda kuyapoza kama sio kuyatibu. Tofauti ya kura kati ya aliyeshinda na aliyeshindwa ni ushahidi dhahiri kuwa walioshindwa nao walikuwa wanakubalika sana. Wangeunganisha nguvu na kuongea kwa sauti moja. Viongozi wakuu wangewakemea wale wote wanaowakebehi wenzao bila kujali walikuwa upande gani. Wangejipanga kwa ajili ya mpambano wa muda mrefu na kuendelea kudai mabadiliko kwa sauti kubwa. Wamepoteza nguvu na muda mwingi kuwaendekeza wale waliokuwa wanataka kulipa visasi na sio kuunganisha chama.

Amandla...
 
Lengo la kushiriki uchaguzi sio kushinda tu bali pia kutuma ujumbe. Cornell West alipo gombea urais Marekani nia yake kubwa ilikuwa ni kuingizwa masuala yasiopewa kipaumbele na vyama katika mjadala wa kitaifa. Hata kama Chaumma haitashinda ubunge hata mmoja, kushiriki kwao kutawatangaza zaidi kwa umma na kama mchezo mchafu utafanyika watauweka wazi. Kwa kufanya hivyo watakuwa katika nafasi nzuri zaidi katika chaguzi za 2029 na 2030.

Amandla...
CDM wanakusonya kwa kueleza ukweli , wanamtii masiya wao TAL, wanamsubiri aje kuwakomboa mazuzu ambao hawaamini status quo ya chama chao, ni illusion mbaya kuliko wale waliopo milembe psyschtric institution
 
Chadema ndo ilikuwa inatia wagombea hofu wa vyama vingine.kwa kutokushiriki sasa imefungulia kila mtu ambaye anajua atagombea kupitia CCM atashinda bila wasiwasi.

Na wakati huo huo vyama vingine vya upinzani vinaona hii ni nafasi ya wao kuweza pata wabunge kwa kuwa ni wazi kuna majimbo ambayo wataachiwa ili kuweza balance kidogo shughuli za kibunge.

Sasa every Tom , Dick and Harry wants to be a MP. Na watu wa CCM na vyama rafiki wanafurahia kuwa hili libaki kama lilivyo kusiwe na mabadiliko kutoka NRNE ibaki vivyo hivyo.
No reporn No errection
 
Haya ndio wengine tulikuwa tunahofia. Chadema walikurupuka na NRNE na hawakutaka kusikia ushauri. G55 waliwaambia CCM ukiwaachia mpunga wanaondoka na sinia.

Sasa hivi kila mtu anajua kuwa serikali na bunge lijalo ni la CCM. Bunge la wakina Shilole na Mwijaku.

Safari hii CCM hawatafanya kosa la kuharibu uchaguzi mpaka ikabidi walazimishe upinzani feki wa Covid-19.

Sasa hivi ACT-WAZALENDO na Chaumma wataachiwa washinde viti kadhaa ili kuwe na kambi rasmi ya upinzani isiyo na meno. Watajitahidi kuwasemea wananchi lakini watapuuzwa. Na Katiba Mpya italetwa na hilo bunge.

Chadema wangeunganisha kambi na kuwasikiliza G55 Sasa hivi pangekuwa na msisimko zaidi na wangewasumbua sana CCM. Tumaini lililobaki ni baadhi ya watu makini waliobaki kuhama CDM na kuhamia CHAUMMA au ACT-WAZALENDO.

Na hapa bado. Tutaona watakavyoendesha chama chao bila ruzuku. Kwa miaka mitano.

Kama hali itakuwa hivyo, lawama zote itabidi zibebwe na Chadema na sio mwengine.

Amandla..
Akili zako hazina akili, unashiriki vipi uchaguzi wa kuwasindikiza Ccm?

Takwimu za kisiasa zinachukuliwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, tueleze Ccm imeshinda kwa asilimia ngapi?

Nini kitabadirika kwenye uchaguzi huu wakati ni Samia na Magufuli ndio wahusika walioharibu uchaguzi wa 2020?

Kuna watu hamna akili kichwani, sorry sijakutukana ni kweli huna akili.
 
ni boara

msishiriki mapaka 2030, kama hakutakuwa na reform achaneni na uchaguzi till the coming of Jesus, aje atoe hukumu, endeleeni kuwa observers nje ya box
 
Unafik uko ndani ya DNA. Unatukana halafu unajistukia unasema haujatukana.
Nitamkasirikiaje mtu anaeniambia akili zangu hazina akili? Kwamba nina akili lakini sina akili!
Mnafurahisha sana. Hasa mnapotaka kuonekana wasomi.

Amandla...
 
ni boara

msishiriki mapaka 2030, kama hakutakuwa na reform achaneni na uchaguzi till the coming of Jesus, aje atoe hukumu, endeleeni kuwa observers nje ya box
Na ada za uanachama, michango ya Tone Tone na diaspora itawawezesha kuendesha chama bila ruzuku mpaka siku reforms zitakapotokea.

Amandla...
 
Wewe ni mtu jasiri sana.

Kukiri kosa na kuomba msamaha inahitaji mtu jasiri.

Hongera kwa uungwana.
Aksante sana kwa pongezi, haya ndio malezi niliyokulia, nikikosea maneno yangu daima Huwa SAMAHANI,NISAMEHE,NAOMBA RADHI
 
Back
Top Bottom