Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Mnazidi kuthibitisha kuwa bila matusi hamna hoja. Mwenzako ameniita kilaza halafu wewe ukaniongezea sifa ya ujinga.Acha ujinga mzee, chadema walishaelezea maama ya NRNE
Wagombea wao kuenguliwa hovyo bila sababu ya msingi, wizi wa kura, mawakala wao kuzuiwa kungia kwa muda kwenye vyumba vya kupigia kura
Kanuni za maadili zilizotungwa kwenye uchaguzi huu si rafiki kwa Upinzani
Ndo maana wanadai reforms ili kuwe na fair election
Kuunganisha nguvu bila uchaguzi huru hakuna maana yoyote, wagombea wenu wataenguliwa mawakala wenu watazuiwa ili watu waingize kura feki, wanachama wenu watauawa kwa kudai haki Yao ambayo ni kura
Ila kwa wajinga kama nyinyi hamuelewi ni kuilaumu chadema kama fala
Hebu nielimishe No Elections itafanikishwa vipi? Na kususia uchaguzi kutaletaje haki katika chaguzi zijao?
Amandla...
una display image ya wana CDM 100% ni watu wa STRESS, MAKASIRIKO, SONONA, ILLUSIONS na MAISHA MAGUMU