Eagle Trader
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 635
- 734
Wewe mwenyew kilaza tu kama huyo bumunda mwenzakokipimo cha ukilaza ni kutofautina na werevu wa CDM?

kumbe malengo ya NENR yametimiaNO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
Jibu rahisi ni kutoshiriki uchaguzi wapite tu kama walivyopanga sisi tuendelee na maisha yetu.Chadema ndo ilikuwa inatia wagombea hofu wa vyama vingine.kwa kutokushiriki sasa imefungulia kila mtu ambaye anajua atagombea kupitia CCM atashinda bila wasiwasi.
Na wakati huo huo vyama vingine vya upinzani vinaona hii ni nafasi ya wao kuweza pata wabunge kwa kuwa ni wazi kuna majimbo ambayo wataachiwa ili kuweza balance kidogo shughuli za kibunge.
Sasa every Tom , Dick and Harry wants to be a MP. Na watu wa CCM na vyama rafiki wanafurahia kuwa hili libaki kama lilivyo kusiwe na mabadiliko kutoka NRNE ibaki vivyo hivyo.
FACTWe need Chadema for our national’s prosperity.
Huwezi kusimamisha gari ukiwa ndani yake. Acha wasusie Chama kitaendeeshwa na michango ya hiyari ya wanachama/wananchi.Haya ndio wengine tulikuwa tunahofia. Chadema walikurupuka na NRNE na hawakutaka kusikia ushauri. G55 waliwaambia CCM ukiwaachia mpunga wanaondoka na sinia.
Sasa hivi kila mtu anajua kuwa serikali na bunge lijalo ni la CCM. Bunge la wakina Shilole na Mwijaku.
Safari hii CCM hawatafanya kosa la kuharibu uchaguzi mpaka ikabidi walazimishe upinzani feki wa Covid-19.
Sasa hivi ACT-WAZALENDO na Chaumma wataachiwa washinde viti kadhaa ili kuwe na kambi rasmi ya upinzani isiyo na meno. Watajitahidi kuwasemea wananchi lakini watapuuzwa. Na Katiba Mpya italetwa na hilo bunge.
Chadema wangeunganisha kambi na kuwasikiliza G55 Sasa hivi pangekuwa na msisimko zaidi na wangewasumbua sana CCM. Tumaini lililobaki ni baadhi ya watu makini waliobaki kuhama CDM na kuhamia CHAUMMA au ACT-WAZALENDO.
Na hapa bado. Tutaona watakavyoendesha chama chao bila ruzuku. Kwa miaka mitano.
Kama hali itakuwa hivyo, lawama zote itabidi zibebwe na Chadema na sio mwengine.
Amandla..
😀😀any way CDM umeipenda mwenyewe the geneous, acha si vilaza tuendele kuona mnavyoteseka kisaikolojia, but u need to see a psychiatrist, utapona tuWewe mwenyew kilaza tu kama huyo bumunda mwenzako
Mpaka sasa hivi kuanzia 2020 Bunge lote ni la CCM.Kwani CHADEMA wana kosa gani kukataa kushiriki upuuzi wa kupotezeana muda na maumivu juu?Haya ndio wengine tulikuwa tunahofia. Chadema walikurupuka na NRNE na hawakutaka kusikia ushauri. G55 waliwaambia CCM ukiwaachia mpunga wanaondoka na sinia.
Sasa hivi kila mtu anajua kuwa serikali na bunge lijalo ni la CCM. Bunge la wakina Shilole na Mwijaku.
Safari hii CCM hawatafanya kosa la kuharibu uchaguzi mpaka ikabidi walazimishe upinzani feki wa Covid-19.
Sasa hivi ACT-WAZALENDO na Chaumma wataachiwa washinde viti kadhaa ili kuwe na kambi rasmi ya upinzani isiyo na meno. Watajitahidi kuwasemea wananchi lakini watapuuzwa. Na Katiba Mpya italetwa na hilo bunge.
Chadema wangeunganisha kambi na kuwasikiliza G55 Sasa hivi pangekuwa na msisimko zaidi na wangewasumbua sana CCM. Tumaini lililobaki ni baadhi ya watu makini waliobaki kuhama CDM na kuhamia CHAUMMA au ACT-WAZALENDO.
Na hapa bado. Tutaona watakavyoendesha chama chao bila ruzuku. Kwa miaka mitano.
Kama hali itakuwa hivyo, lawama zote itabidi zibebwe na Chadema na sio mwengine.
Amandla..
Sasa mnashindwa nini kukifuta tu, kifuteni. Ili mtawale nyie tu na watoto wenu, tujue kuwa Tanzania ni nchi ya kifalme.For the sake of our national unity,we dont need chadema.
Chadema wao ndiyo waliamua hivyo na wako tayari kwa matokeo yoyote. Mtu yeyote kama anaona maamuzi hayo si mazuri ni ruksa kuhamia chama kingine.Haya ndio wengine tulikuwa tunahofia. Chadema walikurupuka na NRNE na hawakutaka kusikia ushauri. G55 waliwaambia CCM ukiwaachia mpunga wanaondoka na sinia.
Sasa hivi kila mtu anajua kuwa serikali na bunge lijalo ni la CCM. Bunge la wakina Shilole na Mwijaku.
Safari hii CCM hawatafanya kosa la kuharibu uchaguzi mpaka ikabidi walazimishe upinzani feki wa Covid-19.
Sasa hivi ACT-WAZALENDO na Chaumma wataachiwa washinde viti kadhaa ili kuwe na kambi rasmi ya upinzani isiyo na meno. Watajitahidi kuwasemea wananchi lakini watapuuzwa. Na Katiba Mpya italetwa na hilo bunge.
Chadema wangeunganisha kambi na kuwasikiliza G55 Sasa hivi pangekuwa na msisimko zaidi na wangewasumbua sana CCM. Tumaini lililobaki ni baadhi ya watu makini waliobaki kuhama CDM na kuhamia CHAUMMA au ACT-WAZALENDO.
Na hapa bado. Tutaona watakavyoendesha chama chao bila ruzuku. Kwa miaka mitano.
Kama hali itakuwa hivyo, lawama zote itabidi zibebwe na Chadema na sio mwengine.
Amandla..
Sasa wew mtu anatoa hoja kuwa CHADEMA ishiriki uchaguzi usio huru na uwazi then anatoa sababu eti kuwa wakishiriki wanajiitengenezea platform ya kushinda miaka mitano ijayo na na kupata umarrufu kwa watu ,😀😀any way CDM umeipenda mwenyewe the geneous, acha si vilaza tuendele kuona mnavyoteseka kisaikolojia, but u need to see a psychiatrist, utapona tu
Sikiliza, ni bora Chadema isiwepo kabisa kuliko kushiriki kitu cha maigizo.Haya ndio wengine tulikuwa tunahofia. Chadema walikurupuka na NRNE na hawakutaka kusikia ushauri. G55 waliwaambia CCM ukiwaachia mpunga wanaondoka na sinia.
Sasa hivi kila mtu anajua kuwa serikali na bunge lijalo ni la CCM. Bunge la wakina Shilole na Mwijaku.
Safari hii CCM hawatafanya kosa la kuharibu uchaguzi mpaka ikabidi walazimishe upinzani feki wa Covid-19.
Sasa hivi ACT-WAZALENDO na Chaumma wataachiwa washinde viti kadhaa ili kuwe na kambi rasmi ya upinzani isiyo na meno. Watajitahidi kuwasemea wananchi lakini watapuuzwa. Na Katiba Mpya italetwa na hilo bunge.
Chadema wangeunganisha kambi na kuwasikiliza G55 Sasa hivi pangekuwa na msisimko zaidi na wangewasumbua sana CCM. Tumaini lililobaki ni baadhi ya watu makini waliobaki kuhama CDM na kuhamia CHAUMMA au ACT-WAZALENDO.
Na hapa bado. Tutaona watakavyoendesha chama chao bila ruzuku. Kwa miaka mitano.
Kama hali itakuwa hivyo, lawama zote itabidi zibebwe na Chadema na sio mwengine.
Amandla..
Sasa kwa akili zako kama Mrema na kigaila unategemea kweli usiwe kilazakipimo cha ukilaza ni kutofautina na werevu wa CDM?
Mrema hua hagombei yeye ndoto yake nikua kwenye Sekretarieti tu.Hivi Mrema na Mwaimu wa Chaumma wameshachukua fomu au chauma kina wauma?💔
Uchambuzi murua kabisa!Kwa nyongeza kushiriki cha CDM kungeleta faida zifuatazo kwa CCM
1. Watu wengi kujitokeza kupiga kura, hivyo, kuwa rahisi kwa CCM kuiba kura kutokana na justification ya wingi wa watu-Ifahamike huendi mwaka huu ukawa na watu wachache sana kwenda kupiga kura wakiamini wagombea wa CCM wameshapita automatically hata kama kutakuwa kura ya Ndiyo au Hapana
2. Kwa baadhi wa wagombea wa CCM ambao kwa namna moja au nyingine watanyimwa fursa ya kugombea/kupitishwa na wajumbe kupitia chama chao, walikuwa wanaweza kuhama chama na kuhamia upinzani na kuweza kugombea kutokana na popularity ya mgombea. Baadhi ya wagombea watakosa fursa hiyo kutokana na kutoshiriki kwa CDM-Ifahamike uwezekano wa kushinda unategemea na nguvu ya chama husika ambacho mgombea amehamia
siwezi kukujibu kwa sababu sijui afya ya akili (mental status) ipoje kwa sasaSasa kwa akili zako kama Mrema na kigaila unategemea kweli usiwe kilaza
ok, nimekuelewa, ni vyema kutoshiriki labda 2030 kama reform zitafanyika, otherwise hakuna haja ya kushiriki dhambi, viachiwe hivyo vyama 18 viendeleeSasa wew mtu anatoa hoja kuwa CHADEMA ishiriki uchaguzi usio huru na uwazi then anatoa sababu eti kuwa wakishiriki wanajiitengenezea platform ya kushinda miaka mitano ijayo na na kupata umarrufu kwa watu ,
Kitu ambacho hakina sense yoyote mwanaichi gani huyo hajawahi kusikia uwepo wa chadema kwanza mpka ianze kutafuta umaarufu Lissu katawanya panya wengi sana pale wapiga dili
Wewe sio wa kwanza kuniita kilaza. Kuwaingiza G-55 kwenye hilo ni kuwaonea. Kwa vile wewe sio kilaza kama mimi, nielimishe No Election ina maanisha nini na itafanikishwa vipi.Hamna kitu ww kilaza tu kama wenzako 55
Acha ujinga mzee, chadema walishaelezea maama ya NRNEHaya ndio wengine tulikuwa tunahofia. Chadema walikurupuka na NRNE na hawakutaka kusikia ushauri. G55 waliwaambia CCM ukiwaachia mpunga wanaondoka na sinia.
Sasa hivi kila mtu anajua kuwa serikali na bunge lijalo ni la CCM. Bunge la wakina Shilole na Mwijaku.
Safari hii CCM hawatafanya kosa la kuharibu uchaguzi mpaka ikabidi walazimishe upinzani feki wa Covid-19.
Sasa hivi ACT-WAZALENDO na Chaumma wataachiwa washinde viti kadhaa ili kuwe na kambi rasmi ya upinzani isiyo na meno. Watajitahidi kuwasemea wananchi lakini watapuuzwa. Na Katiba Mpya italetwa na hilo bunge.
Chadema wangeunganisha kambi na kuwasikiliza G55 Sasa hivi pangekuwa na msisimko zaidi na wangewasumbua sana CCM. Tumaini lililobaki ni baadhi ya watu makini waliobaki kuhama CDM na kuhamia CHAUMMA au ACT-WAZALENDO.
Na hapa bado. Tutaona watakavyoendesha chama chao bila ruzuku. Kwa miaka mitano.
Kama hali itakuwa hivyo, lawama zote itabidi zibebwe na Chadema na sio mwengine.
Amandla..
Nimesema wapi Chadema ishiriki kwenye uchaguzi? Chadema mpaka sasa hivi haiwezi kushiriki bila kusaini masharti ambayo kila mmoja anajua yana kasoro kibao. CHADEMA ikisaini itaonekana kuwa ni wanafik na ikishiriki kwenye uchaguzi bila reforms ( wenye nchi wamesema Katiba mpya ni ajenda ya 2026 mpaka 2030) kufanyika unafik wao utazidi kuthibitishwa. Naamini kwenye hili busara zitawaongoza na hawatashiriki.Sasa wew mtu anatoa hoja kuwa CHADEMA ishiriki uchaguzi usio huru na uwazi then anatoa sababu eti kuwa wakishiriki wanajiitengenezea platform ya kushinda miaka mitano ijayo na na kupata umarrufu kwa watu ,