Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Na ilichukua miaka mingapi kuangushwa? Na nani aliwaangusha? Kulikuwepo na KANU, UNIP na wengine lakini wote ama hawapo wanachechemea.Usidanganyike na nguvu za dola wanazotumia CCM. Kulikua na dola ya Urumi ilikua na nguvu kubwa sasa hivi tunaisoma kama historia kwenye vitabu.
Ni lazima iko siku CCM itaondoka lakini sio lazima kuwa itaondoshwa na Chadema. Chadema ya sasa haitaweza kazi hiyo labda ikijipanga upya kabla ya 2030. Na anaeweza kuipanga upya anafahamika. Sio huyu aliye rumande au msaidizi wake.
Amandla.