Moja ya mambo yanayochangia migogoro kwenye ndoa nyingi ni wanaume kuingia kwenye ndoa wakitarajia wake zao kuwasaidia majukumu yao

Njoo unioe basi tuwe tunatumia pesa zako darling, mimi mwenyewe nilikuwa najimwambafai tu ila pesa yangu kumsaidia mtu nehi nehi karungi 🤣
 
Haya yote yanawezekana endapo mwanamke hafanyi kazi,anatumia muda wake wote kuitumikia ndoa.
Ni UPUMBAVU mke anatoka nawe ukitoka kwenda kufanya kazi,halafu akirudi eti umuhudumie,....huu ni USEN.GE
Anayo hiari ya kuchangia au la

Hapo ndipo mwanaume unahitaji kukaa naye kwa akili ili
Achangie kwa hiari sio lazima
Na wengine mwanaume ukikaa nao kwa akili anaweza kukupa hata salary yote uipangie

Ila asijue unaitegemea hiyo salary yake
 
Jadda
 
Mkuu tatizo unataka kuunganisha dhana mbili ambazo haziwezi kwenda sambamba. Kuna mfumo dume dhana ya maisha ambayo ilitumika huko miaka ya nyuma na kuna 50/50 dhana ya maisha inayotumika kwa sasa. Katika mfumo dume mwanamke aliwekwa pembeni kwenye nyanja zote ikiwemo uchumi kwa maana iyo mwanaume hapa anawajibika kuhudumia familia peke yake. Kwa sasa tupo zama za 50/50 ambazo nwanamke nae kapewa access zote kiuchumi, kisiasa na kijamii, mtu kupewa ajira maana yake automaticaly anaondolewa kwenye kundi la watu tegemezi atatakiwa ajitegemee au na yeye kutoka kwenye kipato chake achangie huduma anazotumia. Sasa hapa ni lazima wanandoa mchague kimoja either mwanamke abaki ndani haudumiwe kila kitu na mumewe au nae atoke kutafuta na achangie kitu mezani, na huo uwe ni wajibu sio hiyari , yaani mwanamke hawezi kushinda nyumbani kusimamia majukumu ya kifamilia kwa sababu anatakiwa kuwepo kazini hapo hapo kipato chake kisijumuishwe popote kwenye ustawi wa familia sasa output ya uyo mke ni ipi hapo nyumbani?
 
KIJANA anakwambia anataka mwanamke mwenye kazi au ajira
Lengo ili amsaidie majukumu yake
Maanake huyo mwanke akipoteza ajira hiyo ndoa haipo
Acha uongo we jamaa, hakuna mwanaume anaacha mke wake kisa hana kazi.

Kuwa na mke mwenye kipato umuhimu wake unaonekana vema mambo yakikuendea kombo
 
Hapo sidhani kama umejibu swali langu sana sana naona ni zile zile kauli za kibabe tu za kimfumo dume ambazo hazina logic wala mantiki, nilihitaji jibu la kwanini ionekane tatizo na vibaya mwanaume kufanya kazi za nyumbani yani ni kipi kinachomzuia mwanaume kufanya hizo kazi, kama dunia imebadilika kwanini ibadilike kwa majukumu ya mwanaume tu kwamba sasa hivi wote wanaonekana wanaweza kutafuta pesa na kulisha familia ila kufanya kazi za ndani bado yabaki kuwa majukumu ya mwanamke
 
Mimi sina shida na hilo mkuu shida yangu kwanini na ninyi sasa hamtaki kuwasaidia majukumu ya nyumbani, hapo tu ndipo ninaposhindwa kuwaelewa wanaume wa kiafrika, yani kwanini dunia ibadilike kwenye majukumu ya mwanaume tu ila majukumu ya mwanamke yabaki pale pale
 
Mwanamke anatakiwa achangie kipato endapo tu hafanyi kabisa kazi za nyumbani
 
Argument yako sasa haina mashiko, naona upo unafanya spinning tu, kitu kile kile unakipaka rangi tofauti ila hoja zimejibiwa na wengi including mimi. Kama kwenye arguments zangu kuna ubabe, mfumo dume na hazina substance, basi I rest my case mkuu. I thought we were arguing harmonically.
 
Duuh hebu nisaidie kunionesha ni wapi uliponijibu hoja yangu mkuu, yani mimi nakuuliza ni kipi kinachomzuia mwanaume kufanya kazi za nyumbani wewe unaniambia eti sijui mwanamke anajisikia raha kumpikia mumewe, seriously kwahiyo hilo ndio jibu ambalo unasema umenipa au kuna lingine ambalo mimi sijaliona hapo hebu nioneshe
 
Basi leo tunaomba umchallenge bidada uko juu. Maana wanaume tumeshindwa kukuelewesha kuhusu mgawanyiko wa majukumu kati ya mume na mke nyumbani ambayo kwa msimamo wako wewe umeyatafsiri kama utumwa kwa mwanamke, uenda wanaume tukawa tunautetea huo utumwa kwa mwanamke kwa sababu sisi ni wanufaika sasa leo kajitokeza dada ambae anatetea hicho kitu unachokitafsiri ni utumwa kwa wanawake ngoja tusubiri mtanange uenda mnaweza kufika muafaka
 
Wewe ni mbishi tushakuzoea, we ishi na partner wako kwa namna utakavyoona inafaa
Hapana sijiongelei mimi naongelea ndoa za dunia ya leo kwa ujumla, na ndio maana siku hizi wanaoongoza kuumia na kulalamika kwenye ndoa ni wanaume, wanawake ni kama hawajali tena na pamoja na tabia zao zote za hovyo ila bado hamuachi kuwaoa
 
Ukidai kusaidia sio poa, ila ukipata wa kukusaidia huwa mzuka sana, kutoboa ni chap tu
 
Hapana sijiongelei mimi naongelea ndoa za dunia ya leo kwa ujumla, na ndio maana siku hizi wanaoongoza kuumia na kulalamika kwenye ndoa ni wanaume, wanawake ni kama hawajali tena na pamoja na tabia zao zote za hovyo ila bado hamuachi kuwaoa
Hakuna mwanamke aliekuzwa katika misingi ya maadili au mwenye ndoa imara na dhamira ya kudumisha ndoa yake anaweza kuya-apply kwenye ndoa yake mambo unayoyaubiri wewe maana katika hali ya kawaida kabisa hakuna mwanaume atayekubali huo ujinga, eti kwa sababu mwanamke analeta kitu mezani akirudi nyumbani hata saa 9 usiku na asihojiwe anatoka wapi kwamba ndio 50/50 iyo hakuna wa kumtawala mwenzake.! Hivi haya mawazo yako kabla ya kuyaandika hapa huwa unayatafakari au unaandika tu uonekane wa tofauti.?
 
Katika miaka yangu yote ya kujadiliana kuhusu hizi mada hakuna mwanamke ambaye nimewahi kujadiliana naye anayepinga mitazamo yangu na akafanikiwa kunielewesha, wengi hawanaga hoja za maana zaidi ya kuishia tu kusema "inabidi tukubaliane na hali maana hakuna namna", yani kwenye hizi mada ukiona wanaume wameshindwa kunielewesha basi kwa wanawake ndio hatutasikilizana kabisa
 
Mungu Alipo muumba Adam alimfanyia msaidizi, elewa neno MSAIDIZI, tatizo jamii ( hasa wewe mleta mada) mmejaa akili za kimaskini na ujinga mwingi kiasi kwamba unaona mwanamke hapaswi kuhudumia familia au kumsaidia mmewe majukumu,

Ni either hujasoma au umeachika kwa upuuzi wako na unataka wenzako wawe kama wewe.

Rubbish post.
 
Katika miaka yangu yote ya kujadiliana kuhusu hizi mada hakuna mwanamke ambaye nimewahi kujadiliana naye anayepinga mitazamo yangu na akafanikiwa kunielewesha
Hao wanaokubaliana na wewe wana trauma tu za mahusiano yao yaliyopita bado wanaishi na vinyongo vya kuachika au kupigwa matukio na maex wao. Na wale wanawake wenye ujeuri wa asili tu wanakubaliana na wewe ku-justify ujeuri wao. Narudia tena hakuna mwanamke mwenye maadili na ndoa imara na dhamira ya kuilinda anaweza ku-apply unayoyaubiri wewe. Mawazo yako ni typically na yale ya joyce kiria kwenye kipindi chake cha wanawake live na wote tunajua historia yake kimahusiano ipoje, hakuna mwanaume timamu anaweza kuvulimia huo ujinga.
"inabidi tukubaliane na hali maana hakuna namna",
Hii ndio hoja yenyewe sasa au wewe unataka hoja mpaka iwe ligi
 
Hilo la kumuuliza mwenza wako alikuwa wapi ni sawa na inatakiwa iwe hivyo kwa wote mke na mume mimi nawashangaa wanaume ambao wanajifanya hawataki kuulizwa, kama wanawake hawayaapply haya ninayoandika humu unadhani chanzo cha wanaume wengi kulalamikia ndoa ni nini au unadhani ninayoandika humu najitungia, mimi sijitungii naandika uhalisia uliopo kwenye jamii wala si kwamba ninayoandika ndio nataka wanawake wayafanye bali tayari wanayafanya na ndio uhalisia
 
Hilo la kumuuliza mwenza wako alikuwa wapi ni sawa na inatakiwa iwe hivyo kwa wote mke na mume mimi nawashangaa wanaume ambao wanajifanya hawataki kuulizwa
Wanaume tuna mambo mengi kama nimetoka kupiga dili za magendo unataka nimemwambie mke wangu?
Wanaoya-apply ndio wakina fatma karume hawawezi kuishi na mume wanaishia kuachika tu mpaka wanazeeka, hakuna feminist mwenye ndoa imara. Unachokieneza wewe ni sumu kali sana na bahati mbaya wanawake huwa wanaenda na mkumbo tu bila kutafakari miles ahead.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…