Moja ya mambo yanayochangia migogoro kwenye ndoa nyingi ni wanaume kuingia kwenye ndoa wakitarajia wake zao kuwasaidia majukumu yao

Moja ya mambo yanayochangia migogoro kwenye ndoa nyingi ni wanaume kuingia kwenye ndoa wakitarajia wake zao kuwasaidia majukumu yao

Hao wanaokubaliana na wewe wana trauma tu za mahusiano yao yaliyopita bado wanaishi na vinyongo vya kuachika au kupigwa matukio na maex wao. Na wale wanawake wenye ujeuri wa asili tu wanakubaliana na wewe ku-justify ujeuri wao. Narudia tena hakuna mwanamke mwenye maadili na ndoa imara na dhamira ya kuilinda anaweza ku-apply unayoyaubiri wewe. Mawazo yako ni typically na yale ya joyce kiria kwenye kipindi chake cha wanawake live na wote tunajua historia yake kimahusiano ipoje, hakuna mwanaume timamu anaweza kuvulimia huo ujinga.

Hii ndio hoja yenyewe sasa au wewe unataka hoja mpaka iwe ligi
Unajua mnachonifurahisha humu ni kwamba mnayoandika ni tofauti kabisa na mnayoyatenda, yani huku kwenye maisha halisi kila siku wanaume wanalalamikia tabia mbovu za wanawake, ila bado wengine wanaendelea kuoa halafu humu eti mnajitutumua hatuoi wa hivi tunaoa wa vile

Kusema kwamba tukubaliane na hali siyo hoja, kwa sababu wanawake nao ni binadamu wenye utashi kama wanaume kwahiyo lazima wahoji, kwanini iwe hivi na isiwe vile na ni haki yao kupata majibu yasiyo na utata na yanayoridhisha

Yani kwa mfano watu weupe walivyowaaminisha vizazi na vizazi kuwa wao ndio wanameumbwa kuwatawala watu weusi, kwa sababu wao ndio wana akili na maarifa kuliko watu weusi kwahiyo unataka watu weusi wakubali tu, wasihoji kwa sababu tu ni kitu ambacho kipo toka enzi na enzi siyo
 
Wanaume tuna mambo mengi kama nimetoka kupiga dili za magendo unataka nimemwambie mke wangu?

Wanaoya-apply ndio wakina fatma karume hawawezi kuishi na mume wanaishia kuachika tu mpaka wanazeeka, hakuna feminist mwenye ndoa imara. Unachokieneza wewe ni sumu kali sana na bahati mbaya wanawake huwa wanaenda na mkumbo tu bila kutafakari miles ahead.
Wewe una uhakika gani kuwa wanawake wote walioshindwa kuishi kwenye ndoa ni kwa sababu tu wana mitazamo ya aina hiyo, je hawa wanaume wote wanaolalamika kwenye ndoa kuhusu wake zao sababu ni hiyo tu kwamba wake zao wana mitazamo hiyo tu, mbona kuna wanawake wengi tu tunawaona wana mitazamo kama hiyo na wameweza kuishi kwenye ndoa zao vizuri tu

By the way unaweza kufananisha wanawake kama kina Fatuma Karume, na hao wanawake zenu wanaojifanya wako submissive kwenu, kumbe ni njaa tu na ugumu wa maisha ndio vinawasumbua ilihali hata mapenzi yenyewe hawana

Kuhusu kuchelewa kurudi nyumbani hata mkeo anaweza akawa na sababu nyingi tu na za kueleweka, as long as anatafuta pesa kama wewe basi suala la kuchelewa kurudi nyumbani ni kawaida tu katika maisha ya utafutaji, kwa sababu hizi kazi au biashara haziangalii kama huyu ni mke au mume
 
Kuishi na
Fikra Kama hizi
Ndo zinachangia migogoro
Unaingia kwenye ndoa ukitarajia umhudumie mke wako Kama Malaya wakAti unahitaji tendo ndo unampa mahitaji yake

Hio ndoa lazima migogoro iwepo
Kuishi namwanamke ni hasara sifanyi hiyo biashara
 
Kwenye maandiko jukumu la mwanamke kubwa ni uzazi na kumtii mume wake

Maandiko kwenye kitabu gani?

Naomba ulete hayo maandiko ili tuweze kuyasoma.

Ujue Gift mzalendo Ukisoma Biblia hata shetani wakati anamjaribu yesu alitumia maandiko pia lakini kwa Yesu yalikuwa ni majaribu.
 
Maandiko kwenye kitabu gani?

Naomba ulete hayo maandiko ili tuweze kuyasoma.

Ujue Gift mzalendo Ukisoma Biblia hata shetani wakati anamjaribu yesu alitumia maandiko pia lakini kwa Yesu yalikuwa ni majaribu.
Baada ya kumwasi Mungu
Ilibidi Kila mmoja apewe majukumu NDANI ya Mfumo waliochagua wenyewe wa adhabu

16 Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Mwanzo 3:16

17 Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako;
Mwanzo 3:17


Lakini hata kabla ya uasi Mwanaume ndo alipewa jukumu la Kusimamia uchumi wa familia

15 Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza.
Mwanzo 2:15

Siku mwanaume alikaa nyumbani akamwachia mwanamke jukumu la kutafuta riziki peke yake ndo
Uasi ulitokea na anguko la mwanadamu mpaka Leo
Alikutana na nyoka akamtongoza akashindwa kuchomoa akaja home na chakula alochoshauriuwa na nyoka ndo ikala kwetu mpaka Leo

So unapomwachia mwanamke majukumu yako jiandae kwa lolote unaweza kuletewa msosi KUTOKA kwa jamaa mwingine 😄😄😄
 
Kuishi na

Kuishi namwanamke ni hasara sifanyi hiyo biashara
Sio hasara mkuu
Kumbuka Wana majukumu makubwa Sana ambayo mengi huwezi kufanya

Kama kubeba ujauzito wa watoto wako karibu mwaka mzima
Na anyonyoshe wanao zaidi ya miaka miwili
Awalelelea wanao KUTOKA miaka zero Hadi watu wazima
Pia tendo la ndoa anakupa maisha yako yote 😄
Na mengineyo mengi kiukweli hutuwezi hata kuwalipa wake zetu kwa majukumu yao

Nashangaa tunataka tuwalazimishe wabebe na majukumu yetu
Mahitaji ya wanawake ni mengi Sana
Kama ukipata anayeweza kujinunulia mahitaji yake binafsi tu mshukuru Sana sio lazima ukugaie na mshahara wake
 
Mnaowaoa wana tabu sana....
Ntafanya kazi kadri uwezo wangu unaruhusu cha muhimu sivunji sheria na kama kuna watoto basi kuna utaratibu mzuri.....

Sitofanya kazi kama mimi binafsi sijataka na sio sababu mume wangu kanizuia

Kabla hujaleta blah blah za usifanye kazi basi hakikisha una kipato kimejitosheleza, emergency fund imetulia na kuna ongoing investments na ikiwezekana uniajiri wewe basi

Lakini fyokofyoko while all you have ni ajira ya utumishi au biashara ambayo haina hata system bado NO WAY
Biashara yenye system ndo inatakiwa iweje.??
 
Biashara yenye system ndo inatakiwa iweje.??
The kind of business ambayo imeshafika level ya kutotegema uwepo wako with potential ya kukua zaidi na hata mpigwa na dhoruba yale mambo ya msingi ya kifamilia nje ya anasa hayatoyumba.....

Mfano let say una kiwanda cha kufyatua tofali, ulianza na mafundi, raw material unacordinate mwenyewe, unaconnect wateja na wauzaji wa material za industry yako ambazo bado huuzi mf mawe, kokoto.... lakini umefika level ya kusource vitu from your own hardware, umetanuka mpaka unauza mawe,kokoto.... etc and the best part you have people ambao wanahusika na uendeshaji na kuna auditing zinakua zinafanyika kwa schedule maalum

Sio lazima uwe dangote but level flani hivi ambayo wewe kazi yako kubwa ni kuwaza unakua vipi, unainvest wapi faida na namna gani una unapreserve what you have already accumulated.

Lakini mtu anakuachisha kazi hata biashara haijajitegemea, emergency fund hamna, float ya kutumia for a while (mf mwaka) incase upepo ukienda kombo hamna

fremu ikivunjwa kupisha miradi refer kimara, au janga la moto likitokea or hata akiumwa akashindwa kuwa operational ni stress Na kitu imekufa
 
Back
Top Bottom