Moja ya operation za kijinga sana kuwahi kufanywa na CHADEMA ni hii wanaita CHADEMA Digital

Una uwezo duni sana wa kufikiria , ungetuuliza tukueleweshe kinachoendelea
 
Mbovu povu? siuwaache?
 
Kama wewe ni mwanachama, hapa ndiyo mahali pa kuuliza Maana ya Chadema Digital?

Sent from my PRA-LA1 using JamiiForums mobile app
 
Naheshimu mtazamo wako.

Lakini wanachofanya chadema ni jambo zuri na la maana sana, na siku sio nyingi ccm na vyama vingine vitaiga.
 
Kwa kusema hivyo unamaanisha chadema hawana ushawishi mahali popote uraiani maana huwa nguvu ya umma haiwezi zidiwa na dola maana tumeona sudani jeshi limezidiwa nguvu na umma limesalimu amri na kurejesha serikali ya kiraia.
 
Naheshimu mtazamo wako.

Lakini wanachofanya chadema ni jambo zuri na la maana sana, na siku sio nyingi ccm na vyama vingine vitaiga.
Hata kama vikiiga haina tija kwani siasa za ajenda Zina nguvu kuliko huu usaniii
 
Taahira kama wewe huwezi kuelewa kinachofanyika ngojea usiku uingie na wewe uingiliwe maisha yaendelee. Huna adabu kabisa kuita kazi tunayofanya ni ya kijinga,mjinga ni wewe unayengojea kuingiliwa ili upate mkate wako wa siku.
Hawa ndo waendesha hii operation? Kwakweli kazi ipo.
 
We mwanamke una GHUBU sana!🀣🀣

Halafu inaonekana bado hujaoga kuondoa ile "SHOMBO " harufu, halafu unakimbilia JF kuja KUHARISHA.....πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sijajua kwa nini watu wakiuliza swali linalohusu Chadema(haswa liwe la kuhoji yanayofanyika ndani ya chama)liwe zuri au mabaya majibu yake yanakuwa ni matusi,dhalau,kashfa na matusi hivi tatizo huwa ni nini?

Hivi yakitolewa majibu mazuri na yakuelimisha amuoni mtakuwa mmewasaidia hata wale waliokuwa hawajui/hawafahamu watakuwa wamepata uelewa na kuelimika?
 
We mwanamke una GHUBU sana!🀣🀣

Halafu inaonekana bado hujaoga kuondoa ile "SHOMBO " harufu, halafu unakimbilia JF kuja KUHARISHA.....πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Wewe lete hoja sio ngonjera au nyie ndio wapiga hela katika hiyo operation
 
Moja ya operation za kijinga kabisa kuwahi kufanywa na CCM ni hii ya kumleta mwenyekiti wao mbele ya uma wa Watanzania na kukiri kuwa urais wa nchi kwake ni kiti kikubwa kwake na janga kwake na hauweziπŸ’πŸ’πŸ’
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa jamaaa wanapenda tu kufukuzwa na kuambiwa kila kitu kiko shwari ndio maana akitokea mtu kwenye system anawapinga anafukuzwa haraka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…