Huenda Wana mkakati wa kuingia madarakani 2087..!! Kizazi kitachokuwepo watakuwa na hyo digital awareness...!! Kwa sa hv wanatwanga maji kwenye kinu
Hivyo ni visingizio tu nakuhakikishia ukikubalika na wengi unashinda kwani hata hao vyombo vya dola lazima wakusuport ila kama hukubaliki ndio hapo utakuja na visingizio vya kila rangi!N Kweli kabisa, sasa hivi ushindi inaletwa na vyombo vya dola na tume ya uchaguzi sio hayo mambo ya kidigitali.
Unaelewa maana janga?Janga ni kitu ambacho binadamu hawezi kukicontroll kwa uhakika.Sisi tunamtaka Rais wa uhakika.Hatumtaki Rais wa mchongo.Hivi unadhani uongozi sio janga!?
CCM ni Chama kinachoongoza Kwa idadi kubwa ya wanachama ukichukua uwiano wa wanachama na idadi ya watu. Chanzo cha hesabu hizi ni ujinga wa viongozi wa Chama hiki kuamini kuwa Kila mwenye Kadi ya CCM tayari ni mwanachama Halali kumbe wengine Wana Kadi 4 Hadi 6.Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Sisi tusio wanachama wa chama chochote cha siasa,tunawatakia kila heri katika jitihada zao za kuimarisha chama,haijarishi wanatumia mbinu gani.Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Hivyo ni visingizio tu nakuhakikishia ukikubalika na wengi unashinda kwani hata hao vyombo vya dola lazima wakusuport ila kama hukubaliki ndio hapo utakuja na visingizio vya kila rangi!
Exactly na huu ndio ujinga chadema cjui wameuokota wapi!?CCM ni Chama kinachoongoza Kwa idadi kubwa ya wanachama ukichukua uwiano wa wanachama na idadi ya watu. Chanzo cha hesabu hizi ni ujinga wa viongozi wa Chama hiki kuamini kuwa Kila mwenye Kadi ya CCM tayari ni mwanachama Halali kumbe wengine Wana Kadi 4 Hadi 6.
Umetaja mifano mizuri sana kwa bahati mbaya au nzuri hao wote uliowataja wanatofautiana sana na hapa kwetu hao wote waliongoza bila kufanya mabadiliko ila hapa kwetu sio hivyo tumeshuhudia ccm wakifanya mabadiliko ya viongozi mabadiliko yanayosababisha tunapata viongozi wa caliber tofauti na hivyo kutofautisha tensheni ya upinzaniHivi unadhani unaongea na mtoto mdogo? Sio kiongozi mmoja au wawili tumeona wakitawala na kushinda kila uchaguzi kwa nguvu ya mtutu wa bunduki hadi machafuko yalipotokea. Na mara zote lugha huwa ni hizi hizi.Mfano wa viongozi hao ni kama Mobutu, Hosni Mubaraka, Mugabe, Elbashir nk, wote hawa walikuwa wanashinda kila uchaguzi kama ccm leo kwa mtutu wa bunduki. Leo hii wako wapi maana walikuwa wanasema wanachaguliwa na wananchi.
HovyooKwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Atajua hajui,mtani unayetubambikia unasemaje?Anzisha yako yenye Tija Kwako na wanachama wako, Kwanini usumbuke na yasiyokuhusu? Au umeiona operation hii inaenda kubomoa msingi yenu na sasa unapiga propaganda?
Jenga hoja ni vipi mfumo huu unaaminika sio kukimbilia Baraza siasa sio sawa na kusajili uraia siasa ni kama upepo watu hugeuka nao cha muhimu pigia debe ajenda zako zieleweke na wewe uaminike believe me utawapata watuMtoa post kama ulisoma na bado akili zako ni primitive kiasi hiki basi, unapaswa kuwarejeshea Baraza vyeti vyao...you're just walking on the line of primitive and totally uncivilized!
Mimi sijajiajiri kwenye siasa japo ni shabiki wa siasa ila nakuhakikishia watamaliza kuzurura wakiambulia patupu!! Siasa ni mchezo unaohitaji timing!!Atajua hajui,mtani unayetubambikia unasemaje?
We unaishi nchi gani,ccm ni zaidi ya chama Cha Siasa,ukishindana nacho,unakuwa unashindana na jeshi,polisi,TISS,mgsmbo,all members of civil servants!!Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Sikiliza ww maneno mingi lkn ukweli utabaki kwamba tuna wapinzani wasioaminika maana kwenye nchi hii hii chini ya mifumo hii wapinzani waliwezaje kuwa na wabunge zaidi ya 70!? Wapinzani waliopo ni wachovu Wana operation za kichovu na matokeo yao lazima yawe ya kichovu!!We unaishi nchi gani,ccm ni zaidi ya chama Cha Siasa,ukishindana nacho,unakuwa unashindana na jeshi,polisi,TISS,mgsmbo,all members of civil servants!!
Unachokisema wewe kipo applicable nchi zenye demokrasia kama SA,Kenya,India,au USA,sio upuuzi wa hapa,
We uliona wapi,Chama Cha Siasa kinataka kufsnya mkutano wa ndani,inabidi kiombe ruhusa kutoka serikalini?Tena ya wapinzani wao,Tena wanataka hata umo mkutanoni wanataka waingie wasikilize kinachoongelewa!!
Hata chadema mkiwa chama tawala igp atakuwa anaamrishwa na ninyi hiyo mbona kawaida tu!!Operation za CCM zinafanywa na Sirro.
By the way, walivyoanza operation kwenye vyuo mliwaona wajinga, moto ulivyowaka mkaona njia pekee ni kufuta shughuli za siasa vyuoni.
Kwani nawewe mchango wako ni upi katika kuwa dhoofisha, ni kwenye uchafuzi mkuu, ukitokea waenezi wa chama lako ie policccm, neck/kishingo, au ofisi ya karani wa siasaš¤.Sikiliza ww maneno mingi lkn ukweli utabaki kwamba tuna wapinzani wasioaminika maana kwenye nchi hii hii chini ya mifumo hii wapinzani waliwezaje kuwa na wabunge zaidi ya 70!? Wapinzani waliopo ni wachovu Wana operation za kichovu na matokeo yao lazima yawe ya kichovu!!
Lete hoja nimesema waliwezaje kupata zaidi ya 40% kama mifumo ni mibovu kiwango hicho!?Kwani nawewe mchango wako ni upi katika kuwa dhoofisha, ni kwenye uchafuzi mkuu, ukitokea waenezi wa chama lako ie policccm, neck/kisholingo, au ofisi ya karani wa siasaš¤.