sabu wanaotumiainternate kwenye simu ni wachache sana sasa chukua hao nao siyo wote wapenzi wa chadema wanatwanga majiHuenda Wana mkakati wa kuingia madarakani 2087..!! Kizazi kitachokuwepo watakuwa na hiyo digital awareness...!! Kwa sasa hivi wanatwanga maji kwenye kinu
Ili mfumo wa usajili wa digital uwe maana lazima uwe na mfumo across the country ambao unazungumza lugha moja. Kwa mfano Ukiwa na Kadi ya benki ya NMB popote ulipo Tanzania wewe huna hata wasiwasi. You belong to the system. Kuchukua komputer mbili na kusajili majina ya watu siyo mfumo, ile ni utunzanji wa kumbukumbu tu , kama unavyoweza kuchukua kaunta book na kupiga mistari ukaweka ser number, Name, designation contact number etc. Kaunta book litatunza tu kumbukumbu halizungmzi na mfumo mwingineUmeanza vizuri lkn kumbe hakuna ulichoandika. Hakuna point humo. Hizo kelele watapigia wapi kwa sasa unavyofikiria.
Wenzako wanasajili wanachama na taarifa zao. Mambo yakiwa safi wanajua songwe wana wanachama 50, ruhusa ya mikutano ikitoka wanakutana nao kupanga mikakati. Wana mawasiliano nao muda wote. Takwimu zitawasaidia kujua nini kifanyime kuoata ushindi endapo haki itatawala. Ubabe huwa na mwisho, wala tusiendelee kuamini katika ubabe. Viongozi hubadilika
Hoja hiyo TU mbona imekuzidi kimo.Lete hoja nimesema waliwezaje kupata zaidi ya 40% kama mifumo ni mibovu kiwango hicho!?
Nyie uenezi wa sera zenu mmeshindwa mmewakodi wazee wa pgo na Bado maji ya shingo🤔.ukihe
sabu wanaotumiainternate kwenye simu ni wachache sana sasa chukua hao nao siyo wote wapenzi wa chadema wanatwanga maji
Nikukumbushe kwa miaka mitano ccm mlifanya mikutano kwa mwavuli wa serikali huku mkisaidiwa na polisi kea kuwashambulia wapizani wenu , lakini uchaguzi ulipoitishwa mliona nguvu mlichokifanya ni kutimia dola kuwabakisha madarakaniKwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
UVCCM kashapiga K-vant yakeTaahira kama wewe huwezi kuelewa kinachofanyika ngojea usiku uingie na wewe uingiliwe maisha yaendelee. Huna adabu kabisa kuita kazi tunayofanya ni ya kijinga, mjinga ni wewe unayengojea kuingiliwa ili upate mkate wako wa siku.
Kilikuwa ni kitu cha hovyo kabisaNikukumbushe kwa miaka mitano ccm mlifanya mikutano kwa mwavuli wa serikali huku mkisaidiwa na polisi kea kuwashambulia wapizani wenu , lakini uchaguzi ulipoitishwa mliona nguvu mlichokifanya ni kutimia dola kuwabakisha madarakani
Huyo sii TU hiyo kachanganyiamo na chingiri mixer.UVCCM kashapiga K-vant yake
Inakuumaa eeh vumilia tu....Kwa maoni yangu naona CHADEMA wameamua kuzurura tu na kupiga hela za chama kwani hii ni operation isiyo na tija yoyote ya muda mfupi wa Kati au mrefu.
Ni operation ya kipuuzi kwa sababu ufuasi wa chama cha siasa sio kama usajili wa kitambulisho cha nida ambacho mtu ukishasajiliwa ndo imetoka.
Lakini pia kumsajili mtu kimtandao au bila mtandao haimaanishi ndio umempata au umemfanya mfuasi wako.
Ukitaka kufaulu kwenye siasa na kujipatia wafuasi utafute madhaifu ya mshindani wako yapigie kelele kwa nguvu Hadi umma uone wewe ni mtetezi wao wa kweli ndipo utaungwa mkono automatically!!
Shida zinafahamika kwenu kwa zaidi ya miaka 60 na hakuna mlilofanya maana maji,umeme na ujinga na malazi bado ni changamoto.
Hii ya kusajili kama una akili ndogo hatojua impacts zake,ni mbadala wa mikutano mliyozuia,one door is closed the other one is open...huwezi kupambana na mwanadamu
Atulie baadae asimlaumu mchoma sindano Bure.Inakuumaa eeh vumilia tu....
Jibu hoja hizo kura waliiba au walizawadiwa!?Hoja hiyo TU mbona imekuzidi kimo.
Mratibu wao nikuulizemo hako kaswali.Jibu hoja hizo kura waliiba au walizawadiwa!?
Inawezekana kizazi cha upinzani bado hakijazaliwa maana hivi hizi porojo hazisaidiiMratibu wao nikuulizemo hako kaswali.
Wakati huo hakuwepo jambaziLete hoja nimesema waliwezaje kupata zaidi ya 40% kama mifumo ni mibovu kiwango hicho!?
Kwa hiyo kumbe tatizo sio mfumo ila ni kiongozi anayekuwa madarakani ni kama vile tu mbowe lipumba au mbatia ambavyo huwezi kuwatoa kwenye vyeo vyao sio kwamba mifumo ya vyama ni mibovu ila ni ubabe wao tu.Wakati huo hakuwepo jambazi
sabu wanaotumiainternate kwenye simu ni wachache sana sasa chukua hao nao siyo wote wapenzi wa chadema wanatwanga majiHuenda Wana mkakati wa kuingia madarakani 2087..!! Kizazi kitachokuwepo watakuwa na hiyo digital awareness...!! Kwa sasa hivi wanatwanga maji kwenye kinu
kama hamtoi maelezo ya kutosha sehemu kama hizi watu wakawaelewa unategemea nini subirini 2080Una uwezo duni sana wa kufikiria , ungetuuliza tukueleweshe kinachoendelea
unajaribu kuonja sumu? by mzee sumaye alitaka kugombea uenyekiti akatoka ndukiiiiiiii wange mchacha wangweKwa hiyo kumbe tatizo sio mfumo ila ni kiongozi anayekuwa madarakani ni kama vile tu mbowe lipumba au mbatia ambavyo huwezi kuwatoa kwenye vyeo vyao sio kwamba mifumo ya vyama ni mibovu ila ni ubabe wao tu.
Maana ukigusa tu kile kiti ndipo utaona moto wao!?