Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Events za harusi zinaboa sana. Miaka nenda miaka rudi ukumbini mambo ni yaleyale:
- Ingia ukumbini
- Cheza kidogo
- Kata keki
- Tambulisha ndugu
- Toa zawadi
- Nenda kwenye msosi
- Muziki
- Tuwaage maharusi wetu wakapumzike (wakaichape)
Kweli miezi 3-4 watu wazima wanakaa vikao kwa ajili ya ujinga kama huo! Na pesa zinakusanywa
Katukio ka saa 4 hadi 5 lakini boring and boring 🚮🚮
Katukio ka saa 4 hadi 5 lakini boring and boring 🚮🚮