Moja ya tukio la kijinga na la kitoto ni kufanya sherehe ya HARUSI, ujinga ujinga mtupu

Moja ya tukio la kijinga na la kitoto ni kufanya sherehe ya HARUSI, ujinga ujinga mtupu

Ujinga utauona wewe unaywtaka vitu tofauti, kwa wanaotaka routine hii huu si ujinga.

This is exactly what they want.

Na kwenye maisha hatupangiani, wengine tunaona soka ni ujinga, wengine ndiyo furaha yao.
Si kila kitu kifanywe kwa kisingizio cha hiyo ndiyo furaha yao. Kuna vitu vinastahili kuhojiwa regardless watu wanavipenda kiasi gani. Popularity haifanyi kitu kiwe smart

Watu wengi wanatumia pesa nyingi kwenye sherehe za siku moja halafu maisha ya baadae yanakuwa magumu hiyo si different opinions, ni poor priorities
 
Pesa zao au zako?

Unataka kupangia watu baki jinsi ya kuishi maisha yao, kwa pesa zao, kwa muda wao, kwa furaha zao?

Kwa sababu tu wewe unaona wanachopenda wao ni ujinga?

Una matatizo gani wewe?

Unajua hata ujinga watu wana haki ya kuufurahia ilimradi hawakuingilii wewe tu?

Wakifurahia ujinga wao, wewe inakupunguzia nini?
 
Back
Top Bottom