Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Hapana sikubaliana na wewe,binafsi ndoa yangu haikufanyika ukumbini hilo nililikataa binafsi,kwakuwa sitaki tu zile fujo za ukumbiniUmesema vyema mkuu, hauwezi ukawa na akili timamu ukaenda ukumbini kisa kuna jamaa anaoa
Na wengi wanaopenda hizi mambo za harusi ni wanawake na wanaume wenye tabia za kike
Lakini si sahihi kudhihaki watu wanao fanya sherehe zao kwa matakwa yao,kwakuwa wewe hupendi mambo ya ukumbini basi usione wenzako ni wajinga