Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Yeah, ila script za harusi ni zilezile utoto mwingiMkoani tumezoea sherehe zinaanza saa 12 jioni, wengine alasiri.. kazi mnayo huko Dar maharusi wanakuja ukumbini saa 3
Kamati za nini mnajadiliana ujinga tu, basi wanunulieni zawadi wanandoa wakaanze maisha yaoAfu planning ya miezi mi3 nyuma mbona kawaida mkuu, lazima mjadiliane budget ( mapato na matumizi) vinatoshana? Au wanakamati watabaki na lawama matikiti yalikuwa mengi kwanini kwenye wali na sio ndizi?
Umesema vyema mkuu, hauwezi ukawa na akili timamu ukaenda ukumbini kisa kuna jamaa anaoaNa hata ukiangalia wanaohudhuria kuna namna akili zao haziko sawa na zinafanana
Tumekukosea nini 😭😩😂Na hata ukiangalia wanaohudhuria kuna namna akili zao haziko sawa na zinafanana
Huwa nacheka sana huku nikisikitika nikiona wanaume wanapiga vigelegele ukumbini kisa wana uhakika wa kula ubwabwa na nyamaSasa sisi wapiga vigelegele tukale Wapi?
Kula I mean malipo.Huwa nacheka sana huku nikisikitika nikiona wanaume wanapiga vigelegele ukumbini kisa wana uhakika wa kula ubwabwa na nyama
Kabisa.Umesema vyema mkuu, hauwezi ukawa na akili timamu ukaenda ukumbini kisa kuna jamaa anaoa
Na wengi wanaopenda hizi mambo za harusi ni wanawake na wanaume wenye tabia za kike
Badilikeni.Tumekukosea nini 😭😩😂
Huyo atakua ni shabani madobeHuwa nacheka sana huku nikisikitika nikiona wanaume wanapiga vigelegele ukumbini kisa wana uhakika wa kula ubwabwa na nyama