Mji wenyewe wa dar mchafu kupindukia,vijiji vya uswahili kila mahali.mitaa ya maana hapo dar hata haizidi tano......ukitoka oyestar,mikocheni,masaki,mbezi na upanga,huko kwingine ni upuzi mtupu...yaani kitu ya maana hapo dar ni BRT na towers kadhaa,mji hauna mpangilio umetapakaa tu.
Umewaacha uchi hawana stand hawa yang'au.wameshidwa na mji mdogo wa korogwe pambafu kabisaaa[emoji16][emoji16][emoji16]
ukitaka kuwajua wenyeji wako lazima ujishushe ufanane nao bro ndio uungwanaBro from the pictures I can predict the type of bus you used, is either Chania, executive, Genesis or Vanga. Those are cheap buses and that's where they stop. It seems your money was not enough to board classic buses like Modern Coast, Tahmeed, Bus car, Mash,Spanish, Dream line, etc. Anyway, what you pay determines what you get.
Hahaha We jamaa noma Camera ni ileileNo the problem is not camera the problem is " li nchi lenu chafu na kusababisha picha ziwe kama chafu linchi linanuka maviii kila pahara ndiyo maana wode Maya alipokuja Tanzania wakenya wakaanza kumwambia camera yake imeimpruvu kuliko aliyokuwa anatumia Nairobi mwenyewe akawaambia camera ni ile ile
Bro from the pictures I can predict the type of bus you used, is either Chania, executive, Genesis or Vanga. Those are cheap buses and that's where they stop. It seems your money was not enough to board classic buses like Modern Coast, Tahmeed, Bus car, Mash,Spanish, Dream line, etc. Anyway, what you pay determines what you get.
Tabmeed is pathetic bro, Don’t ever recommend end to someone, Pengine hiyo Modern coast nitajaribu wakati mwingine.
Siku ukija bongo from Nairobi try Dar Lux and see the difference.
Hawa majamaa hawana kitu, Hata zile barabara huwa wanatuma humu sijui wanazitoa wapi,
Mombasa ni mashimomashimo, Uchafunuliovunda mji unanuka kinoma. View attachment 1095055
Tatizo wakenya ni washamba sana hawa wasanii waliofulia Tanzania hata hakuna watu wenye habaei nao wakija huko ni lulu,There are rumours that umeenda huko kuuza mk****. Refute it na evidence pliz.
Watz wanapenda Mombasa sana.
Ali kiba ommy dimpoz aslay queen ni hawakauki huko
huyu jamaa kaumbuka...kapanda basi cheap kuja mombasa mazee...alafu kaja kutupigia picha stage ya chania,executive,genesis....
bro umeji expose vibaya sana leo...atasema tangia avuke ferry kaone apige picha stage ya chania...na sidhani bro km uko nyali...na wala hta bamburi hupawezi..kw hali hyo..we ligi yako ni uswazi tu..bwahaaaa
huyu jamaa kaumbuka...kapanda basi cheap kuja mombasa mazee...alafu kaja kutupigia picha stage ya chania,executive,genesis....
bro umeji expose vibaya sana leo...atasema tangia avuke ferry kaone apige picha stage ya chania...na sidhani bro km uko nyali...na wala hta bamburi hupawezi..kw hali hyo..we ligi yako ni uswazi tu..bwahaaaa
Tatizo wakenya ni washamba sana hawa wasanii waliofulia Tanzania hata hakuna watu wenye habaei nao wakija huko ni lulu,
Duuhh! Aibu naona mimi..Pictures taken by Me today Morning during My dispatch,
View attachment 1094470View attachment 1094471View attachment 1094472View attachment 1094473
Ulitaka aje bandarini Kwani yeye ni kuli 😂😂Wewe hukuwa Mombasa, hueziingia na kutoka Mombasa Vila kupitia hapaView attachment 1095070
Pesa zako ni za Chania my friend, you can't afford Tahmeed. In fact Tahmeed is better than all your buses.Jamaa mmoja ananiambia Tahmeed bus ni Luxury,
Hawa jamaa ni Kama vile vitu vizuri hawavijui bado, Ukiangalia hata namna wanajenga nyumba zao ni kama hawafanyi finishing za Kisasa.
Ulitaka aje bandarini Kwani yeye ni kuli [emoji23][emoji23]
Jamaa mmoja ananiambia Tahmeed bus ni Luxury,
Hawa jamaa ni Kama vile vitu vizuri hawavijui bado, Ukiangalia hata namna wanajenga nyumba zao ni kama hawafanyi finishing za Kisasa.