game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
- Thread starter
- #41
Mji wenyewe wa dar mchafu kupindukia,vijiji vya uswahili kila mahali.mitaa ya maana hapo dar hata haizidi tano......ukitoka oyestar,mikocheni,masaki,mbezi na upanga,huko kwingine ni upuzi mtupu...yaani kitu ya maana hapo dar ni BRT na towers kadhaa,mji hauna mpangilio umetapakaa tu.
Sawa, Ila Kumbuka kibera pekee (slum kubwa zaidi Duniani) inakaliwa na Wakazi milioni Tano unusu, Haani 60% ya wakazi wa Nairobi,
Nyie wengine sijui mmejaa kwenye slums nyingine za Mathare, Huruma, Kalio bangi, Korogocho, Githurai, N.k