tahmeed labda hko kwenu ndio anawaletea vituko...tafuta vip mombasa nairobi upandeJamaa mmoja ananiambia Tahmeed bus ni Luxury,
Hawa jamaa ni Kama vile vitu vizuri hawavijui bado, Ukiangalia hata namna wanajenga nyumba zao ni kama hawafanyi finishing za Kisasa.
Hiyo jamaa hakuwa Mombasa na hizo picha si zake pia. I doubt hata kama ni picha za hii mwaka.
View attachment 1095094
Kuna mwenzako mmoja anasema Tahmeed ni Luxury,
That 2000ksh from Dar To Msa ni Nauli ya Kupanda Laxury bus Kama Shabiby from Dar to Dom,
Google hapo Shabiby Luxury uone maana ya Luxury bus, Sio hizo madude
View attachment 1095094
Kuna mwenzako mmoja anasema Tahmeed ni Luxury,
That 2000ksh from Dar To Msa ni Nauli ya Kupanda Laxury bus Kama Shabiby from Dar to Dom,
Google hapo Shabiby Luxury uone maana ya Luxury bus, Sio hizo madude
Wewe ulipanda gari ya wasioweza . Tahmeed is 1800 from Nairobi to Mombasa, kuna ya 1500 na pia 1300 kulingana na uwezo wako. So kulingana na ticket yako I can judge your pocket prowess.
Watanzania ndio washamba sijapata kuona. Lazima mtangaze mkienda mahala hadi mnafungua Uzi? Seriously? Watu wapo nje ya afrika lakini hutawaona wakijigamba humu.Grow up!Tatizo wakenya ni washamba sana hawa wasanii waliofulia Tanzania hata hakuna watu wenye habaei nao wakija huko ni lulu,
Sawa cheap but siinaenda mombasa??huyu jamaa kaumbuka...kapanda basi cheap kuja mombasa mazee...alafu kaja kutupigia picha stage ya chania,executive,genesis....
bro umeji expose vibaya sana leo...atasema tangia avuke ferry kaone apige picha stage ya chania...na sidhani bro km uko nyali...na wala hta bamburi hupawezi..kw hali hyo..we ligi yako ni uswazi tu..bwahaaaa
Hii ndio bus luxury Kenya??? Daa yaani nkitakaga kucheka naingia humu kuangalia ujinga wa wakenyaaPesa zako ni za Chania my friend, you can't afford Tahmeed. In fact Tahmeed is better than all your buses.View attachment 1095083View attachment 1095090
Pesa zako ni za Chania my friend, you can't afford Tahmeed. In fact Tahmeed is better than all your buses.View attachment 1095083View attachment 1095090
Sawa kwa hivyo wife anaprefer T.Z kushinda Nairobi? Amewahi fika Nairobi?Nikafanye nini huko?
Actually if I was to go, the plan was to Go via Train, SGR until my very beautiful wife declined it as she wasn’t pleased with our stay in Mombasa.
Wow come slowly hawakauki hahahaThere are rumours that umeenda huko kuuza mk****. Refute it na evidence pliz.
Watz wanapenda Mombasa sana.
Ali kiba ommy dimpoz aslay queen ni hawakauki huko
Umefika Mombasa sasa wajidanganya umefika Kenya? . Hujawahi sikia pwani sio Kenya . Anyway Mombasa is more developed than all your cities except DARWewe bwege nimekuja kwa pesa yangu nimekaa hotelini, Nimekula bata na kurudi sijakaribishwa na Mkenya, hakuna mkenya anayeweza mkaribisha mtu, Nyie somo la ukarimu lishapitaga kushoto, Uncivilized fellas,
Shida sio stage ya chania, kwan cheap buses zinaingia stage za ovyo? Tena sio stage ile sasa sijui kuiita stage ya chania mlitumia kigezo kipi?huyu jamaa kaumbuka...kapanda basi cheap kuja mombasa mazee...alafu kaja kutupigia picha stage ya chania,executive,genesis....
bro umeji expose vibaya sana leo...atasema tangia avuke ferry kaone apige picha stage ya chania...na sidhani bro km uko nyali...na wala hta bamburi hupawezi..kw hali hyo..we ligi yako ni uswazi tu..bwahaaaa
Hahaha kwani hizo bus ni za nchi gani?Pesa zako ni za Chania my friend, you can't afford Tahmeed. In fact Tahmeed is better than all your buses.View attachment 1095083View attachment 1095090