Monalisa ni mfano wa mzazi mbaya

Vyuo vyetu ni bora kuliko hivyo vya huko Ulaya ya Mashariki!! Huna ufahamu wa vyuo vya huko walikosoma wakina SHIKA!!
Kwa hiyo wewe unadhani Shika alikuwa mweupe kabla hajapata shida ya akili?
 
Mi nilijuaga dogo kaenda kusoma Harvard kumbe hizi uswekeni Ukraine. U know!
 
Watanzania bwana

Kwa kuwa nyie mmesoma bcom mzumbe au Iaa basi kila mtu asome mzumbe
 
Usiwatajage watu waliokuwa na akili kuliko ukoo wenu mzima mkichanganyika na kiazi kama wewe

Ungejua mtu unayemuandikia huo utumbo wako ni wa aina gani nadhani ungeji....nyea!!! Huyu ni mtu wa masafa marefu sana ambayo maishani mwako kuyafikia itakuwa ni ndoto ya alinacha tu!!
 
Exactly [emoji1666]
 
Wewe jamaa una ubishi wa vijiweni sana.
 
Ungejua mtu unayemuandikia huo utumbo wako ni wa aina gani nadhani ungeji....nyea!!! Huyu ni mtu wa masafa marefu sana ambayo maishani mwako kuyafikia itakuwa ni ndoto ya alinacha tu!!
Nikujue itanisaidia nn bwegenaz wewe
 
Nimekufwatilia sana toka mwanzo nimegundua bado una utoto, maliza kwanza chuo kisha ukaribie kwenye real life!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…