Monalisa ni mfano wa mzazi mbaya

Hao wazungu wamekuja huku kwa kuponda kwao hakufai?
 
Monalisa mwenyewe kaishia la saba anajua wapi mambo ya elimu
 
Kheeeeh kumbe n div 1 ya 5, mbna walikua wanasema div 1 ya 3 woiiiiih, hongera zake.
 
Halafu huko Ukraine alikuwa anasoma lugha kwanza. What a waste! Degree bado hajaanza rasmi. Anasoma Lugha kwanza. Kiukrain kina faida gani sasa ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Hizo A zake zakukariri itakuwa

Mtu mwenye A isiyo yakukariri lazima azifahamu nchi nzuri zenye vyuo vizuri

Anaacha kwenda USA, Canada, Scandnavia, UK
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vyuo vya Bongo alisema havijui kwan. Ila anasikia kuna UDSM na IFM. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani hata wakisoma kazi zenyewe zipo au ndio mwisho wanauza vitenge na juice ya miwa hko Instagram kama yule mtoto wa gadner alikuwa anaringa ila wahuni wamemuwahi sisi yetu macho tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna hata hapa kwetu wanafunzi wa chuo wanawekana kinyumba lol
 
Acha apate adabu , alitaka kumuoutclass , janja janja la mjini Paula , ona sasa litoto lake linazurura vitani na division one yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamtetea shem wako?
 
Div 1.5 ya Eca sio mchezo. Hawa wakija udsm kule udbs huwa wanafaulu kweli kweli.

Maana accounts ya chuo ni ile ile ya advance
Ooooh hapo sawa, huko nje kafuata exposure na connection. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema mkuu msuli wa chuo tofauti kidogo na advance. Huwezi amini mtu anaweza akatoka na single digit advance halafu chuo akatoka na Ka pass Tu.
 
Ooooh hapo sawa, huko nje kafuata exposure na connection. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Exposure inatafutwa German, Spain, Norway, Belgium, ulaya magharibi lakini ulaya mashariki huko ukrain afadhali angeenda hata songea st joseph au hata morogoro angerudi anajua hata kupika wali kuliko huko
 
Vyuo vya china kuna option ya kufundishwa kwa kiingereza, ukrain binti anagonga mwaka akijifunza lugha kwanza wenzake waliobaki Bongo watagraduate yeye akiwa mwaka wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…