Monalisa ni mfano wa mzazi mbaya

Sisi team paula tunakommenti wapi vile[emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana sisi masikani yetu Dubai tu pa KULA BATA[emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa ni kula kuku kwa mrija uwiiiih
 
Kila mtu huenda ana ndoto hizo, Ila lugha aliyotumia haikua sawa. Kweli unaamini havijui vyuo vya bongo ikiwa kasoma kindergarten hadi form 6 hapa bongo.
Kweli unaamini hakuna chuo Cha hadhi yake bongo?
Mama yake kitendo Cha kumpeleka tu Ukraine kimeonyesha amejikuna ambapo mkono haufiki.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni chizi kweli khaaah. Eti nn?
 
Child talk bro atarudi kitaa na atapajua mpaka Njueni Institute
 
Child talk bro atarudi kitaa na atapajua mpaka Njueni Institute
Ni kweli ni utoto ila mama mtu hakupaswa kuunga mkono kauli za mtoto.
Wasanii wenyewe hawa kesho na kesho kutwa wanalia watu wawachangie wanaumwa, alafu Leo anasema mwanae hana hadhi ya kusoma chuo bongo
 
Saa hizi akirudi hadi vyuo vya RAS simba atajua vilipo *****,
 
Watu wasote UDSM , IFM, DIT, SUA , Mzumbe, MUCE , DUCE , RUCU, SAUTI , TEKU, St. JOSEPH, na vyuo vingine bongo leo uhojiwe eti hauvijui hivyo vyuo angejua watu walianza kumchukia pale kujifanya matawi wakati wakawaida tu, ndio maana unaona watu wanamsagia kunguni alidharau taasis za elimu watu walizopitia, mtu alitoka majimaji au tunduru kwenda mwanza SAUTI halafu umsemee chuo chake kwa dharau akipata upenyo anakusagia kunguni tu kama kawaida, maisha ya wasanii wengi Bongo ni maigizo yaani wanaishi kwa shida sana hasa ongeza na nyodo ndio hatuwaelewi kabisa
 
Hivyo ni Kama alitaka kuonyesha ana huo uwezo kwa watu wa mitandaoni(wengi nao hawaelewi kitu)

[emoji23][emoji23][emoji119]
 
Exposure inatafutwa German, Spain, Norway, Belgium, ulaya magharibi lakini ulaya mashariki huko ukrain afadhali angeenda hata songea st joseph au hata morogoro angerudi anajua hata kupika wali kuliko huko
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu huko Ukraine alikuwa anasoma lugha kwanza. What a waste! Degree bado hajaanza rasmi. Anasoma Lugha kwanza. Kiukrain kina faida gani sasa ?
Duh! Kama ni hivyo alifanya wrong choice.
Mimi ni muumini wa kusoma nje, ila, angesoma walau zile nchi ambazo lugha zake zinakupa added value mfano vyuo vinavyotumia Kihispaniola, Kifaransa, Kijerumani, Kireno n.k

Ila niliona ile clip ya mwanae kuzodoa vyuo vyetu, ile ni mbaya. Hakupaswa kuionyesha kwa hadhira. Na mbaya zaidi mama akamtetea mwanae. Pale Mona alizingua sana. Wakati mwingine ni busara kufanya mambo yako kimyakimya.
 
Maraisi wote bongo wamesoma hapa, Tena kipindi Cha ndio kulikua na fursa nyingi na rahisi za kusoma nje
 
Wanaompangia na kumkandia kupeleka mtoto wake nje ni mafiking.
Sie tumkosoe kwa hoja ya mwanae ya kusema vyuo vyetu ni vya kidwanzi. Japo lina ukweli 😬😬😬 ila hakupaswa kuongea vile public yule dogo, na mbaya zaidi mama naye akamtetea mwana. Bora ukasome Ukraine kuliko Bongo (nacheka mwananjilinji anayefananisha elimu ya Ukraine na Tanzania). Elimu yetu ni ya fitna na kukomoana, mabinti wanadhalilishwa na wahadhiri. Bongo vyuo vyetu si rafiki kwa watoto wa kike.
 
Maraisi wote bongo wamesoma hapa, Tena kipindi Cha ndio kulikua na fursa nyingi na rahisi za kusoma nje

Yaani ni utumwa wa baadhi ya watu wanaoamini kwenda nje ya nchi ni kufanikiwa zaidi, wakati hata Bongo watu wanagonga first degree then masters na phd ndio wanatoka kutafuta exposure sasa, binafsi kwanza hata wakienda nje impact yao ni ndogo sana labda kizazi kama cha akina Mo Dewij, Kevin Twissa , Lau Masha hao na wengine wengi waliokanyaga kitabu USA hata ukiongea nao unaona huyu uelewa wake ni mkubwa sana na wakitumia elimu yao kwa huku wanafanya vitu kabisa
 
Wasomi wengi waliopiga kitabu ulaya mashariki sio wote lakini wengi wao waliishia kua walevi wa pombe kali, wasomi wengine naowaona hawana maajabu ni wale walioenda kusoma China, ukitoa walau kozi za afya walipiga kitabu India hao hua afadhali the rest tuendelee tu na mahangaiko yetu mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…