Monalisa ni mfano wa mzazi mbaya

Kuna siku Monalisa alikupigia simu akasema anapeleka mtoto wake kusoma Ulaya mashariki ili kukuonyesha kuwa anaweza kusomesha mtoto wake Ulaya?
Hauna tofauti na monalisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee ni mtu wa Ruvuma? Maana umetaja San maeneo ya huko.
 
Sahivi hadi wa kiume tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukraine chuo chao bora kwa duniani ni cha 1200+ huko, Makerere Cha Uganda ni Cha 900 , UDSM ni cha 1800+
Hadi hapo Kuna picha nadhani utaipata. Angalia gap kwa ya chuo Bora Ukraine na chuo bora uganda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwetu ni songea maeneo ya Msamala, but kwa sasa niko mbali, ila soon ntakua huko.

Songea nilikaa miaka mingi nyuma sana anzia miaka ya super matimila orchestra inaanzishwa baadae kuvuka kwenda msumbiji kupitia Dar pori, tukaja enzi mzee kawawa anahamasisha watu kujenga nyumba bora kuanzia hanga mpaka kitanda huko kupitia kambi za wakimbizi wa msumbiji kuelekea mputa, kuja kula Mbufu na mberere za ziwa nyasa mbambabay huko, enzi mshangano na msamala ni mapori Bombambili ndio kidogo kwa mbali sana, kusafiri Dar unapuyanga hadi makambako kupanda treni
 
Enzi kijana ananyoa panki na mama zenu wanalaza nywele kwa kigae cha moto, huku wakivaa mikanda ya vipepeo viunoni
 
Nikweli vinavyozalisha wanao okotwa majalalani ,jalala unalifahamu

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…