Monduli: Lema agoma kumpa mkono Makonda

Lema kafanya vizuri. Dawa ya mnafiki ni dharau tu
 
Nasubiria Lissu amtaje rasmi wahusika wakuu wa lile shambulio la kupigwa risasi zaidi ya 30 mchana waa 7, na kwa Mji mdogo kama Dodoma!! Huku wahusika leo wakiwa hawajulikani.
 
Hii habari uliyo andika haimjengi Lema ila kwenye Jamii inaonyesha Bado ana utoto wa kifikra na si ushuja.
Kwenye ulingo wa siasa junahitaji ngozi Ngumu la si hivyo Moyo wako utajaa matakataka ya hasira na visasi.

Mkumbushe ndugu Nabii kama ulivyo mtambulisha, kwenye biblia imeandikwa Kisasi ni Cha Bwana na mapambano yetu si ya Damu na nyama.
 
Makonda hata mimi nikikutana naye siwezi kumpa mkono. Muuaji anatakiwa atengwe na jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…