Umesema wanawake wa JF that's why we're here.Ungekuwa huna muda WA kupoteza kwanini bado uko hapa labda?!
Me sijakufuata kwenye himaya yako wewe ndo uko hapa kwangu unaniletea fujo, sasa Nani Hana hoja, ningekuwa sina hoja usingekuja au usingecomment
We kibali kuwa mdau ameniuliza swali ambalo wewe ushatoka majibu yake,
It's a win win situation
Kafanye basi KAZI kama unazoππππ
Defeated cheap bastard!
Me sijui, naona wamekasirika kuona Mdau kanifuata kuniulizia kwanini wanaume wanapenda Sana post zangu na sio wanawake.kuna ugomvi baina yenu....???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesema wanawake wa JF that's why we're here.
Haya kitufe mie ni jobless and one among my fav hobbies is reading, fanya kama unajitag na web yako nikapotezee muda huko.
I second you.Sawa biashara njemaππππππ.
Endelea na kazi yako., what's that again??? "Kudanga".
Ukiandika mada za maana tutakuja kucomment ila hizi za kupandisha watu nyege tusamehe kwakweli. Bora uone tunakuchukia na hatukusupport. Sisi tunapandisha ngenye babes wetu tuu.
Sasa kwanini unatulazimisha time tukusuport kwenye biashara yako huku ukijua Wateja wako sio wanawake wenzako? Kila MTU asapotiwe na wateja wake.Anti sky is the limit mama, Acha ujinga fanya KAZI yako aliokupatia Mungu
Naandika mada za maana ndio maana Nina viewers laki 5 kwenye website yangu
Nina viewers elfu 20 kwenye YouTube channel yangu
Yani leo huna PA kufurukuta, Kila sehemu unafeli π
No sis ni kamsemo tuOh na Felicia ni jina lake? Oh Lord mbona kina Fe...hatuko hivi [emoji21]
Anti Uzi huu ukiusoma Kwa kutumia akili na Kwa kutulia haukuhusu kabisaOuch did that hurt?? Did I pop your bubble poleeee.
Too bad I have the freedom to read and comment in whatever thread I want.
Una ng'ang'ania eti wanaume wameona watakutafuta....kumbe we Dalali???
FYI since I know you too well guess who are flooding me with requests for your details [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Sasa hao wachache wanaokusupport hela zao tumia kujiweka vizuri you are too rough....nywele mbovu, ukija kwenye miwani utafikiri mzamiaji baharini na jishepu ndo chefuuuuuu...Utafikiri kizuka kwenye kilinge cha Mshana Jr
Jitengeneze kwanza af uje tuendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia uni support mama??Sasa kwanini unatulazimisha time tukusuport kwenye biashara yako huku ukijua Wateja wako sio wanawake wenzako? Kila MTU asapotiwe na wateja wake.
Woyoooooooo
Unajipa umaarufu ambao wala hata hauna.
Na huyo mdau kaja kukujaza tuu upepo huko PM.
Mada zako zimekaa staili Fulani ya kuwavutia wanaume kama sio kuwanyegesha kwahiyo lazima wa comment na kukupenda.
Sasa wanawake ulitaka tucomment nini na wakati targeted readers wa most of your threads ni wanaume?
Tupumzishe tupo bize na Corona.
Sasa hivi ndio akili imekujaa sio?!Sasa huu uzi una maana gani literally?
π² Kweli..??amna mbn tunawakubal km wew kenzy nakuelewa sn
Hannah Umaarufu ubaki huku huku JF....Alikosea njia akavamia page ya watu insta, nilimuonea huruma mimi Money Penny dada mwenye duka la chupi mjini ndio kiboko yako hurudii tena .Insta sio JF [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahhahaha kimeo kweli.Sasa hivi ndio akili imekujaa sio?!
Corona imeisha kichwani?!
Wamuuliza Nani maswali labda, wakati ulidandia gari Kwa mbele mpaka unaonekana looser