Money Penny kwanini unapendwa sana na wanaume na sio wanawake kwenye Jamii Forums?

Uwe unakuja kujichekesha chekesha kwenye minyegesho ya huyu mdau. Maana anatafuta umaarufu kwa nguvu kulazimisha kuonekana eti tunamchukia ndiyo maana hatucomment.
Nimeteleza kwa leo tu nikaangukia kwenye huu Uzi
Nyuzi zake hazijawahi nibariki ndiyo maana wengine tunapitaga kimya kimya, akitaka anipate labda aanze kupost simulizi.
 
Muda wowote ntakufata piemu..😜
 
Me nadhani kichwani kwako sio mzima
Na wala sikulaumu ngoja waje wanaume wenye uume wakusaidie
 
Na bado kila muda anatag watu, hao anaotag wenyewe hawaji/ hawasupport mashudu yake lakini yumo tu.
Tuendelee kumjibia jibia quotes zake Uzi wake uwe juu juu apate support anayoililia hapa
 
Aisee nipo hapa toka mwanzo Thread sijaona mwanaume alienishangaa au wanakuja kunishangaa PM kwako???
Hapa nilipo nimesoma uzi sijahitaji akili kujua kwamba umeandikwa na mtu "desperate anapenda attention " Imagine conversations ulizoandikiwa PM unakuja kuzitengenezea uzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kila baada ya sentensi unaita wanaume...alafu hatuwaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado kila muda anatag watu, hao anaotag wenyewe hawaji/ hawasupport mashudu yake lakini yumo tu.
Tuendelee kumjibia jibia quotes zake Uzi wake uwe juu juu apate support anayoililia hapa
Mbona wamekuja na wamecomment
Sema ulikuwa buzy na mambo yako ya Corona ndio maana hujawaona
Nakushauri Achana na Mimi, ushajiaibisha vya kutosha Kwa wanaume ambao unahisi watakufuata pm
Kweli Kwa money penny kunanoga Daima, no wonder Nina viewers laki 5 kwenye website yanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Mmmmh napita tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waliokuja kuanzia page 1 mpaka 7 NI akina mama?!
Sema hivi dada Wivu unakusumbua na huna KAZIπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Me skulaumu, hakuna mwanaume atakaekusapoti wewe kwasababu ya ujinga wako Sana Sana watakugonga na kusepa kama walivyomfanya dadako mwuza chupi insta, kaishia kuzaa na.... Sasa anajiita kaokokaπŸƒ

Ujinga au no ujinga bado napata sapoti Kwa watu na Kila siku Wana comment hawana shida na Mimi, mwenye shida NI wewe ndo maana uko hapo hapo unajifariji Kwa matusi

Poor you, maisha hayaendi hivyo dada, plz kaa ma wanaume wakunyooshe, probably we na mwuza chupi mtaolewaga sasaπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Hahaha
Wanaume wanaojitambua huku JF wapo tunawajua na hata mmoja sijaona akikatisha kwenye Uzi..utawapata hao hao mnaofanana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…