Money sunction effector (MSE) ni suluhisho la ajira kwa vijana hapa Tanzania

Money sunction effector (MSE) ni suluhisho la ajira kwa vijana hapa Tanzania

Haha nilichoka kufanyia kazi tumbo na Kodi ,maana tulifika mahali ikawa either ule ulale njee au ulipe Kodi upate mahali pa kulala njaa
😂😂😂😂😂😂😂😂 Huku jamaa ako kila.
Anaongezewa kodi aiseeee hatareee mpaka sasa anataka kuacha ndala ila nimemwambia mwanaume msimamo
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 Huku jamaa ako kila.
Anaongezewa kodi aiseeee hatareee mpaka sasa anataka kuacha ndala ila nimemwambia mwanaume msimamo
😀😀😀😀Itabidi umbane sana huyo hata baada ya campus pale abaki hapa hapa mjini
 
😀😀😀😀Itabidi umbane sana huyo hata baada ya campus pale abaki hapa hapa mjini
Jamaa ako jau anasema hawezi ety huku pamoto..

Nimemwambia basi ukajitolee tuu baada ya kumaliza ila wapi kakataaa ansema bora aende njombe
 
Kijana, haya mawazo yako ni halali kwa taifa kukutegemea.

Hakika soon utapata nafasi nyeti ya kumshaur raisi.

Kila la kheri katika majukumu yako hayo mapya.

Lakini kumbuka yule ni raisi sio "mshangazi".
 
Back
Top Bottom