Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Historia ya dunia katika kiwango kikubwa imeandikwa katika kivuli cha race na dini, ndio maana inafichwa fichwa sana. Hawa jamaa kutoka Maghreb (maeneo ya Morocco au Algeria ya leo), walikuwa na nguvu sana kiasi cha kuweza kufika maeneo ya spain ya leo na kutawala na kusimika uislam (Ukhalifa). Sasa historia hii wanahistoria ambao ni racist au religious fanatics, wanaificha sana.