We mwenyewe wale wale unani Accuse mimi naongea kwa hisia nitashusha data hapa unihangaishe wee ilihali wewe unabwabwaja tu maneno bila ushahidi
Nilileta kwa ushahidi na nishaongea sana Humu, kuna Vitabu hadi Marekani vinaelezea Utumwa Zanzibar na upo tofauti na Uliofundishwa wewe. Ukitaka nitaweka na majina na paragraph muhimu muhimu.
Mfano ninayotoa sana humu Masultan wa Zanzibar walikuwa weusi kibao, mfano ni Wa Ali bin Hamud Sultan wa Zanzibar miaka ya 1900s
1. Jamaa alikuwa ni mweusi tofauti Historia nyingi za Ki Africa zilizopotoshwa na kuna Picha kabisa amepigwa na zipo mitandaoni hakikisha kwa kugoogle hilo jina
View attachment 2593582View attachment 2593583View attachment 2593584View attachment 2593585
2. Alikuwa kichwa na tuzo kibao kuanzia Dola za kiisilamu kama Ottoman, Hadi Uingereza, Italy, Portugal na kwengineko, baadhi ya Honor zake
HONOURS
- King Edward VII Coronation Medal-1902
- Special Class in brilliants of the Nishan-e-Osmanieh of the Ottoman Empire-1905
- Grand Cross of the Order of the Crown of Italy-1905
- Grand Cross of the Order of the Red Eagle, 1st Class of Prussia-1905
- Grand Cross of the Order of the Immaculate Conception of Vila Viçosa of Portugal-1905
- King George V Coronation Medal-1911
3. Huyu jamaa utawala wale ali invest na kutengeneza mambo mengi including huku bara, kama hufahamu ndie alimleta Aga khan na partialy ali finance Shule na Hospitali ambazo nyingi zimetaifishwa siku hizi zimekua za serikali, Including Muhimbili kama sijakosea.
Je mtu kama Huyu vijana wetu hawapaswi kumjua? A tuendelee kuwadanganya tu ni waarabu wale walikua wakitesa Wa Africa?
Huyo ni wa karibu tu, Tuje kwenye mada hii, Moors walikua ni watu wa kweli na walikuepo Ulaya walitawala, wachache kwenye Uongozi walikua waarabu ila wengi walitoka Africa, North Africa na Nchi kama Mali na Niger walikuwepo weusi na zipo picha nyingi tu za kale kuthibitisha.
Vipi kuhusu Aksum Empire ambayo Existence yake ilikuwa ikifananishw na Super power wengine kama China, Persia na Roma wakati huo?
Vipi Mansa musa ambaye alikua Tajiri kiasi kwamba aliposafiri aliacha inflation kwenye nchi na kuathiri miaka kibao.
Tu wa ignore wote hao, Tumsome mangungo?