Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hakuna ushahidi wowote uliouweka zaidi tu ya watu wawili wakitoa maoni na malalamika kuhusu sehemu ya historia ya Ureno wanayoipenda sana wao kukosa umaarufu ureno. Ushahidi ni Syllabus za Hispania na Ureno.
Hayo malalamiko yaliyotolewa na hao watu yanaweza kutolewa hata na watu wa Italia kwamba historia ya miaka 700 ya utawala wa Roman Empire huko Ureno haijatiliwa mkazo na kupata umaarufu sana Ureno na duniani kote kama historia za Wareno kina Vasco Da Gama na Christopher Columbus.

Nimekupa ushahidi nimekuwekea na link ila umeipotezea kimya unadandia comment nyengine thats why natwamga tu maji kwenye kinu, endelea tu mkuu kuabudu unaoabudu.