Africa tumeandikiwa historia,mabaya yote ni ya waafrica, mazuri yote ni ya kwaoKatika history nyingi zinazo fichwa fichwa ..
History ya watu weusi waliotokea Senegal na Mauritania ya Leo kutawala Sehemu ya Ulaya ilipo nchi ya Spain na Portugal na Ufaransa Leo hii, watu hao waliitwa Moors.
History yao ni ndefu sana, hapa nitakuwa najaribu Ku share kwa picha na maelezo kidogo ili watu wengi waelimike.
ExactlyHistoria ya dunia katika kiwango kikubwa imeandikwa katika kivuli cha race na dini, ndio maana inafichwa fichwa sana. Hawa jamaa kutoka Maghreb (maeneo ya Morocco au Algeria ya leo), walikuwa na nguvu sana kiasi cha kuweza kufika maeneo ya spain ya leo na kutawala na kusimika uislam (Ukhalifa). Sasa historia hii wanahistoria ambao ni racist au religious fanatics, wanaificha sana.
Mkuu:Kuna Mfululizo wa Riwaya ziitwazo, Rendezvous with Destiny; Namba 3 inaitwa Gibraltar Passage. Imeeleza kuhusu Moors na Spain. Unaweza itafuta pia. Imeandikwa na mtu anaitwa Davis Bunn.
Hakika.Mkuu:
Riwaya hii unayo ikusudia ndio ipo kwenye Sahara Crosswind (Rendezvous With Destiny, No 3)?
Historia ya dunia katika kiwango kikubwa imeandikwa katika kivuli cha race na dini, ndio maana inafichwa fichwa sana. Hawa jamaa kutoka Maghreb (maeneo ya Morocco au Algeria ya leo), walikuwa na nguvu sana kiasi cha kuweza kufika maeneo ya spain ya leo na kutawala na kusimika uislam (Ukhalifa). Sasa historia hii wanahistoria ambao ni racist au religious fanatics, wanaificha sana.
Unajaribu kubisha nini?Moors ni jina walilolitumia wazungu wa Ulaya kuwaita Waarabu, Berbers, Waislamu na jamii zote zilizotoka Kaskazini mwa Africa, halikuwa jina mahusisi kwa jamii fulani au race ya watu weusi.
Pia walivamia na kutawala Spain na Ureno tu kuanzia karne ya 8, hawakufika Ufaransa.
Hakuna history inayofichwa?Hakuna Historia iliyofichwa, hii Historia yote inapatikana katika vitabu vya Historia na inafundishwa katika vyuo vya magharibi.
Labda kama unasubiria uletewe hii Historia hapo ulipo.
Moors inaweza kuwa mwarabu ama mtu mweusi, mhindi, mfilipino etc kifupi Moors ni jina wazungu walikuwa wakiwaita waisilamu, Watu weusi toka Mali na Niger waliitwa Moors, watu wa Maghreb north Africa waliitwa Moors, Wahindi waliitwa Indian Moors, Ufilipino pia kuna Moors etc.Moors ni jina walilolitumia wazungu wa Ulaya kuwaita Waarabu, Berbers, Waislamu na jamii zote zilizotoka Kaskazini mwa Africa, halikuwa jina mahusisi kwa jamii fulani au race ya watu weusi.
Pia walivamia na kutawala Spain na Ureno tu kuanzia karne ya 8, hawakufika Ufaransa.
Historia inaweza ikafichwa na vile vile ikawa ipo kwenye vitabu, kifupi hivyo vitabu ni mpaka mtu akutonye kama The Boss alivyoleta mada hapa, ila huvikuti kwenye Sylabuss.Hakuna Historia iliyofichwa, hii Historia yote inapatikana katika vitabu vya Historia na inafundishwa katika vyuo vya magharibi.
Labda kama unasubiria uletewe hii Historia hapo ulipo.
Moors inaweza kuwa mwarabu ama mtu mweusi, mhindi, mfilipino etc kifupi Moors ni jina wazungu walikuwa wakiwaita waisilamu, Watu weusi toka Mali na Niger waliitwa Moors, watu wa Maghreb north Africa waliitwa Moors, Wahindi waliitwa Indian Moors, Ufilipino pia kuna Moors etc.
Mtu mpumbavu only ndo anaweza kubisha kuwa history zote duniani zomeandikwa Kwa lengo maalum...Historia inaweza ikafichwa na vile vile ikawa ipo kwenye vitabu, kifupi hivyo vitabu ni mpaka mtu akutonye kama The Boss alivyoleta mada hapa, ila huvikuti kwenye Sylabuss.
Mashuleni wanafunfisha historia wanayotaka wao na sio ukweli.
Kila siku nawaambia humu hii historia inawadumaza sana, imeandikwa kumfanya mtu mweusi awe inferior, unafundishwa zaidi kuhusu Mangungo lakini watu kama Ali bin Hamoud huwakuti kwenye Historia.Mtu mpumbavu only ndo anaweza kubisha kuwa history zote duniani zomeandikwa Kwa lengo maalum...
Ndo maana Leo watu wanaambiwa Ottoman empire ilivyokuwa powerful wanashangaa since kwenye history waliyofundishwa haipo
Historia inaweza ikafichwa na vile vile ikawa ipo kwenye vitabu, kifupi hivyo vitabu ni mpaka mtu akutonye kama The Boss alivyoleta mada hapa, ila huvikuti kwenye Sylabuss.
Mashuleni wanafunfisha historia wanayotaka wao na sio ukweli.
Mtu mpumbavu only ndo anaweza kubisha kuwa history zote duniani zomeandikwa Kwa lengo maalum...
Ndo maana Leo watu wanaambiwa Ottoman empire ilivyokuwa powerful wanashangaa since kwenye history waliyofundishwa haipo
Mkuu najua wewe ni mnazi wa west tutabishana Bure tu, ila huwezi kuskip historia ambayo imetokea miaka Mia 4 mfululizo,Huwezi kufundishwa au kusoma kila kitu kenye syllabus ya darasani, huwezi kuwekewa vitabu vyote katika syllabus. Katika Historia ni machache sana utayapata darasani, mengi unayapata kwa jitihada za kujisomea mwenyewe kibinafsi. Hiyo sio lazima imaanishe kwamba ambayo hukusoma darasani yamefichwa.