uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Ndugu zangu kama mnavyojua kutoka Morocco kwenda Spain ni karibu tu na pia kutoka Morocco kwenda ethiopia ni karibu tu.
Miaka ya 1980s nchi pendwa ya Morocco ilijitoa kwenye muungano wa Afrika kwa kuona wao hawana hadhi ya kukaa na waafrika hadhi yao ni wazungu.
Wakaanza mchakato wa kusubmit paper za kujiunga Umoja wa Ulaya. Zile paper zilijibiwa ndani ya wiki moja kuwa hatuwataki nyie sio wenzetu.
Walipokosa pa kwenda wakajirudi Afrika kwa aibu wakapokelewa.
Cyprus ipo mbali na Ulaya lkn ni mwanachama wa umoja wa ulaya hawa ndugu zetu Morroco ulaya ni kama uani tu lkn wametoswa
Mwenye kujua zaidi atujuze ndugu zangu kwanini walikataliwa kujiunga na umoja wa Ulaya.