Morocco ilijitoa Afrika ikajiomba kujiunga Ulaya ila wazungu wakaikataa. Hii inatufundisha nini?

Morocco ilijitoa Afrika ikajiomba kujiunga Ulaya ila wazungu wakaikataa. Hii inatufundisha nini?

Ndugu zangu kama mnavyojua kutoka Morocco kwenda Spain ni karibu tu na pia kutoka Morocco kwenda ethiopia ni karibu tu.

Miaka ya 1980s nchi pendwa ya morocco ilijitoa kwenye muungano wa Africa kww kuona wao hawana hadhi ya kukaa na waafrika hadhi yao ni wazungu.

Wakaanza mchakato wa kusubmit paper za kujiunga umoja wa ulaya. Zile paper zilijibiwa ndani ya wiki moja kuwa hatuwataki nyie sio wenzetu.

Walipokosa pa kwenda wakajirudi africa kwa aibu wakapokelewa.

Cyprus ipo mbali na ulaya lkn ni mwanachama wa umoja wa ulaya hawa ndugu zetu morroco ulaya ni km uani tu lkn wametoswa

Mwenye kujua zaidi atujuze ndugu zangu kwanini walikataliwa kujiunga na umoja wa Ulaya.
Dah huna unachokijua aisee naona umeandika uongo mtupu
 
Kwasababu Morocco ipo katika bara la Africa isingewezekana ikubaliwe kujiunga na nchi zilizopo kwenye umoja wa bara jingine.
 
Israel ipo Asia kaka laminitis ipo umoja wa Ulaya. Nafikiri kuna sababu nyingine.
Hebu taja hiyo sababu nyingine. Maana sababu ya kukataliwa na eu ni kuwa ipo bara la Africa. Tutajie hiyo nyingine tuijue
 
Usipotoshe tafadhali Morocco ilijitoa baada ya umoja wa Africa kuunga mkono jamhuri ya saharawi ambayo Morocco inaichukulia kama eneo lake.msipende kuandika umbeya

Wanatujazia server tu
 
Tumia akili basi ethiopia pamoja na kuwa ni pembe ya africa lkn ni rahisi kufikika na nchi zote kama ipo katikati tu

Burundi ipo africa ya kati lkn pia inaweza kuwepo africa mashariki

Cameroon ipo africa magharibi lkn inaweza kuwepo africa ya Kati

Tumia akili acha kukariri kile kitabu tu
Kwa nini sio Central Africa Republic?

Umetumia vigezo gani kusema Ethiopia ni katikati ya Africa?

Please share hizo vigezo na wengine tujifunze kitu
 
Ndugu zangu kama mnavyojua kutoka Morocco kwenda Spain ni karibu tu na pia kutoka Morocco kwenda ethiopia ni karibu tu.

Miaka ya 1980s nchi pendwa ya Morocco ilijitoa kwenye muungano wa Afrika kwa kuona wao hawana hadhi ya kukaa na waafrika hadhi yao ni wazungu.

Wakaanza mchakato wa kusubmit paper za kujiunga Umoja wa Ulaya. Zile paper zilijibiwa ndani ya wiki moja kuwa hatuwataki nyie sio wenzetu.

Walipokosa pa kwenda wakajirudi Afrika kwa aibu wakapokelewa.

Cyprus ipo mbali na Ulaya lkn ni mwanachama wa umoja wa ulaya hawa ndugu zetu Morroco ulaya ni kama uani tu lkn wametoswa

Mwenye kujua zaidi atujuze ndugu zangu kwanini walikataliwa kujiunga na umoja wa Ulaya.
Ukisema uongo nani anakulipa posho? Hebu kastaarabike acha mauzushi na mauongo ya kipuuzi.
 
Uongo ni upi

Kwamba morocco hakujiondoa africa?

Kwamba morocco hakuomba kujiunga ulaya akatoswa?

Nadhani anaestahili kuwa mjinga ni wewe

Siwezi kukaribiana kwa ujinga na wewe unayezusha vitu vya kufikirika. Kuwa Africa na kuwa Ulaya ni mgawanyo wa kijografia ambao huwezi kujitoa na kujiunga na bara lingine maana huwezi kuhamisha ardhi. Walikuwa wanataka kujiunga Ulaya kwa namna gani. Morocco wenyewe hawakutaka kuwa Africa ilitokea ardhi yao iko Africa wanawezaje kujitoa Africa? Acha uzushi na upotoshaji.
 
Back
Top Bottom