Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ndugu zangu kama mnavyojua kutoka Morocco kwenda Spain ni karibu tu na pia kutoka Morocco kwenda ethiopia ni karibu tu
15 hr 34 min (1,331.4 km) via A-4
135 hr (8,415.0 km) via A1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu kama mnavyojua kutoka Morocco kwenda Spain ni karibu tu na pia kutoka Morocco kwenda ethiopia ni karibu tu
Gwajima aliahidi kubadilishana vijana waende Birmingham Alabama.!Ningekuwa na Mamlaka ningeiomba Marekani iichukuwe Tanzania liwe jimbo la 53 la Marekani na Watanzania wote automatically wanakuwa Wamarekani.
Morocco walikuwa sahihi, ila ukiwa kichwa maji huwezi kuliona hilo.
Kumbe naongea na mtu ambae huna akili. Haya endelea na ujinga wako
Unashindwa hata ku Google kitu kidogo upate uelewa. View attachment 2449810
Huu ni uongo. Moroco ni mwanachama mwanzilishi wa OAU, ambapo ilijiunga May 25, 1963.Ndugu zangu kama mnavyojua kutoka Morocco kwenda Spain ni karibu tu na pia kutoka Morocco kwenda ethiopia ni karibu tu
Miaka ya 1980s nchi pendwa ya morocco ilijitoa kwenye muungano wa Africa kww kuona wao hawana hadhi ya kukaa na waafrika hadhi yao ni wazungu
Wakaanza mchakato wa kusubmit paper za kujiunga umoja wa ulaya
Zile paper zilijibiwa ndani ya wiki moja kuwa hatuwataki nyie sio wenzetu
Walipokosa pa kwenda wakajirudi africa kwa aibu wakapokelewa
Cyprus ipo mbali na ulaya lkn ni mwanachama wa umoja wa ulaya hawa ndugu zetu morroco ulaya ni km uani tu lkn wametoswa
Mwenye kujua zaidi atujuze ndugu zangu kwanini walikataliwa kujiunga na umoja wa ulaya
Haya sawaMwenye kukosa akili ni yupi mkuu kati ya mimi na morroco
Morocco aliyejiondoa africa kujiunga ulaya wakamtosa
Mkuu birmingham ni mji ulioko kwenye jimbo la alabama au ulitaka kumaanisha niniGwajima aliahidi kubadilishana vijana waende Alabama na Birmingham!
Tayari mlishapelekwa?Mkuu birmingham ni mji ulioko kwenye jimbo la alabama au ulitaka kumaanisha nini
Tulia wewe standard 4 geography failure, Morocco ipo mbali sana na Ethiopia tena sanaaaa. Na kwa sababu yako ya katikati bora ungesema Central African republic au Congo DRCUongo wa nn makuu ethiopia ni karibu kwa kila nchi kwa kuwa ipo katikati
Wapi na nani na liniTayari mlishapelekwa?
Tuanze na:Ndugu zangu kama mnavyojua kutoka Morocco kwenda Spain ni karibu tu na pia kutoka Morocco kwenda ethiopia ni karibu tu
Miaka ya 1980s nchi pendwa ya morocco ilijitoa kwenye muungano wa Africa kww kuona wao hawana hadhi ya kukaa na waafrika hadhi yao ni wazungu
Wakaanza mchakato wa kusubmit paper za kujiunga umoja wa ulaya
Zile paper zilijibiwa ndani ya wiki moja kuwa hatuwataki nyie sio wenzetu
Walipokosa pa kwenda wakajirudi africa kwa aibu wakapokelewa
Cyprus ipo mbali na ulaya lkn ni mwanachama wa umoja wa ulaya hawa ndugu zetu morroco ulaya ni km uani tu lkn wametoswa
Mwenye kujua zaidi atujuze ndugu zangu kwanini walikataliwa kujiunga na umoja wa ulaya
Nadhani ni chanzo cha habari ila sasa huyu mwandishi hajaleta chanzo kaleta umbeya.Tuanze na:
Source # 1
Source # 2
Haya ni makitu gani wakuu naona karibu kila uzi
Huu ni uongo. Moroco ni mwanachama mwanzilishi wa OAU, ambapo ilijiunga mwaka May 25, 1963.
Moroco alijitoa OAU mwaka 1984 kupinga Chama cha POLISARIO cha Sahara Magharibi kupewa kitu OAU kama mwakilishi wa Western Sahara, sehemu ambayo Moroco inasema ni jimbo lake.
Moroco alirudi AU (Zamani OAU) mwaka 2016 kama mwanachama baada ya kampeni ndefu ya kutaka utambulisho wa POLISARIO ufutwe. Utakumbuka hata Tanzania ilikuwa ikitambua POLISARIO na hata mfalme wao kuja hapa Tanzania wakati wa Magufuli akatujengea Msikiti pale Kinondoni na ahadi ya Uwanja Dodoma ni sehemu ya kampeni za kuitokomeza POLISARIO.
So siyo kweli Moroco walijitoa sababu walijiona wazungu. Moroco ina native wengi ambao ni Berbers kuliko Waarab na hao ni wenyeji wa Moroco kama Wagogo walivyo wenyeji wa Tanganyika
Nilitarajia hivyo vitu nitaona kadri ninavyosoma lkn hola.Nadhani ni chanzo cha habari ila sasa huyu mwandishi hajaleta chanzo kaleta umbeya.
Niliposoma hii comment yako nikaona kumbe uzi huu umeuleta kwa kuchangamsha genge tuUongo wa nn makuu ethiopia ni karibu kwa kila nchi kwa kuwa ipo katikati
Birmingham na Gwajima tangu 2020!Wapi na nani na lini
Niliposoma hii comment yako nikaona kumbe uzi huu umeuleta kwa kuchangamsha genge tu
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app