Morocco ilijitoa Afrika ikajiomba kujiunga Ulaya ila wazungu wakaikataa. Hii inatufundisha nini?

Dah huna unachokijua aisee naona umeandika uongo mtupu
 


Kwasababu Morocco ipo katika bara la Africa isingewezekana ikubaliwe kujiunga na nchi zilizopo kwenye umoja wa bara jingine.
 
Israel ipo Asia kaka laminitis ipo umoja wa Ulaya. Nafikiri kuna sababu nyingine.
Hebu taja hiyo sababu nyingine. Maana sababu ya kukataliwa na eu ni kuwa ipo bara la Africa. Tutajie hiyo nyingine tuijue
 
Usipotoshe tafadhali Morocco ilijitoa baada ya umoja wa Africa kuunga mkono jamhuri ya saharawi ambayo Morocco inaichukulia kama eneo lake.msipende kuandika umbeya

Wanatujazia server tu
 
Tumia akili basi ethiopia pamoja na kuwa ni pembe ya africa lkn ni rahisi kufikika na nchi zote kama ipo katikati tu

Burundi ipo africa ya kati lkn pia inaweza kuwepo africa mashariki

Cameroon ipo africa magharibi lkn inaweza kuwepo africa ya Kati

Tumia akili acha kukariri kile kitabu tu
Kwa nini sio Central Africa Republic?

Umetumia vigezo gani kusema Ethiopia ni katikati ya Africa?

Please share hizo vigezo na wengine tujifunze kitu
 
Ukisema uongo nani anakulipa posho? Hebu kastaarabike acha mauzushi na mauongo ya kipuuzi.
 
Uongo ni upi

Kwamba morocco hakujiondoa africa?

Kwamba morocco hakuomba kujiunga ulaya akatoswa?

Nadhani anaestahili kuwa mjinga ni wewe
Ukisema uongo nani anakulipa posho? Hebu kastaarabike acha mauzushi na mauongo ya kipuuzi.
 
Uongo ni upi

Kwamba morocco hakujiondoa africa?

Kwamba morocco hakuomba kujiunga ulaya akatoswa?

Nadhani anaestahili kuwa mjinga ni wewe
Siwezi kukaribiana kwa ujinga na wewe unayezusha vitu vya kufikirika. Kuwa Africa na kuwa Ulaya ni mgawanyo wa kijografia ambao huwezi kujitoa na kujiunga na bara lingine maana huwezi kuhamisha ardhi. Walikuwa wanataka kujiunga Ulaya kwa namna gani. Morocco wenyewe hawakutaka kuwa Africa ilitokea ardhi yao iko Africa wanawezaje kujitoa Africa? Acha uzushi na upotoshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…