Morocco ilijitoa Afrika ikajiomba kujiunga Ulaya ila wazungu wakaikataa. Hii inatufundisha nini?

Kwanza kutoka Morocco Mpaka Spain sio karibu unavyofikiria.
Mipaka inajieleza.
Wamoroco HAWANA akili.
 
Nimekupa mfano cyprus na israel zipo umoja wa ulaya lkn kijografia hazipo asia

Na ni kweli morocco waliomba kujiunga ila wakatoswa

Sasa km hujui hilo jiite mjinga
 
Unajua Kama Cyprus ni kisiwa?
Nimekupa mfano cyprus na israel zipo umoja wa ulaya lkn kijografia hazipo ulaya

Na ni kweli morocco waliomba kujiunga ila wakatoswa

Sasa km hujui hilo jiite mjinga
 
Eti kutoka Morocco kwenda Ethiopia ni karibu tu

Acha wenge
 
Ndio mana nikasema hiki ni kipindi cha kuwa makini watu wa kujadiliana nao.

Mkiwa likizo kwa waume wa dada zenu vijana mnakua wapumbavu kabisa.

Nimekuuliza maswali simple unaruka ruka tu kama punda.
 
Umeuliza maswali simple au umeuliza ujinga?
Punguza kukariri kile kitabu utaharibikiwa
Ndio mana nikasema hiki ni kipindi cha kuwa makini watu wa kujadiliana nao.

Mkiwa likizo kwa waume wa dada zenu vijana mnakua wapumbavu kabisa.

Nimekuuliza maswali simple unaruka ruka tu kama punda.
 
Ningekuwa na Mamlaka ningeiomba Marekani iichukuwe Tanzania liwe jimbo la 53 la Marekani na Watanzania wote automatically wanakuwa Wamarekani.

Morocco walikuwa sahihi, ila ukiwa kichwa maji huwezi kuliona hilo.
Ukijiona upo sahihi na wakati huo huo usahihi unaouona unategemea na maamuzi ya wengine, basi haupo sahihi
 
Hii inatufundisha kwamba Afrika bado ni shithole, nchi hazitaki kufungamanishwa na Afrika.
 
Walikataliwa Kwa sababu ni waarabu.
Wenyewe wanasema wale siyo waarabu. Ni wa kabila la berbers na mchanganyiko wa southern europe (Spain, France, Portugal). Asilimia ya uarabu ni ndogo sana na lugha ile imetokana na influence ya utawala wa waarabu.

Waarabu hasa ni wa Emirates, Iraq, Kuweit, Saudia, Jordan.
 
Jamani wa Morocco sio waafrica,African is for black people,hao mnaoona wamewakana wamesema Ukweli huku walikuja babu zao kufanya biashara ya utumwa tu,waachen warudi kwao huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…