GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Bodaboda walio wengi ni wale kabla ya Ujio wa hizi pikipiki walikuwa ni vibaka na wahuni mtaa.Bodaboda ni laana kwa taifa. Hawa watu...sijui wamelogwa?
Hata kama unatembea kwa miguu sehemu sahihi, bodaboda wanakufuata kama wanataka kukugonga. Mfyuuuuuu
Thubutu,,, nke wa ntu thumuuu, Siku hiz waleta masikhara kwenye ndoa za watu wanaziburiwa ntaroWatu hawaoani ila wanachakatana tu mkuu.....kama limeruhusiwa hilo bas ni halali mkeo kuliwa na mleta mkaa na houseboy,bodaboda pia
Tufanyaje ili tusife mkuuNa tutakufa kweli....Mungu adhihakiwi.Tumrudie Muumba wajamen...kilasiku mbususu mbususu utadhani ndo zimerushwa Leo dunian
Kama umesoma vizuri jibu lipo hapohapo,usinifanyie dhihaka tafadhaliTufanyaje ili tusife mkuu
VizuriThubutu,,, nke wa ntu thumuuu, Siku hiz waleta masikhara kwenye ndoa za watu wanaziburiwa ntaro
Kama ni usiku au asubuhi sana uwe unavaa reflector, watu wa jogging ni tatizo tena barabarani hamvai reflectorKuna mmoja kanikosakosa kunigonga leo mitaa ya Benki kuu, mida ya saa tatu nikiwa jogging [emoji35] yaani alikuwa ananifuata pembeni kabisa nje ya barabara
Kwa hiyo tukimrudia mungu atasitisha vifo?Na tutakufa kweli....Mungu adhihakiwi.Tumrudie Muumba wajamen...kilasiku mbususu mbususu utadhani ndo zimerushwa Leo dunian
Bodaboda ni laana kwa taifa. Hawa watu...sijui wamelogwa?
Hata kama unatembea kwa miguu sehemu sahihi, bodaboda wanakufuata kama wanataka kukugonga. Mfyuuuuuu
Africa hatuna akili na mipango tu, mbususu ulaya wanakula sana na ajali ni chache sanaNa tutakufa kweli....Mungu adhihakiwi.Tumrudie Muumba wajamen...kilasiku mbususu mbususu utadhani ndo zimerushwa Leo dunian
tanzania ndio nchi pekee ambayo mtuanaweza kujifunza pikipiki asubuhi kisha jioni akaanza kubeba abiliria huko polisi wakiwa wanamjua fika mtu huyoMwezi jana kupita Kibaigwa usiku nilikuta gari zimesimama na mimi nikaenda kushuhudia.
nikakuta vidume viko bize kumchomoa dereva wa boda na boda yake kanasia katikati ya akseli za nyuma ya tela.
boda waliowengi hawazingatii kabisa usalama kwasababu hawapatiwi mafunzo ya udereva.
Na sasa wameongezeka madereva bajaji nao ni shida tupuMwezi jana kupita Kibaigwa usiku nilikuta gari zimesimama na mimi nikaenda kushuhudia.
nikakuta vidume viko bize kumchomoa dereva wa boda na boda yake kanasia katikati ya akseli za nyuma ya tela.
boda waliowengi hawazingatii kabisa usalama kwasababu hawapatiwi mafunzo ya udereva.
DuhBodaboda nyingi zinamilikiwa na walimu wananunua kwa biashara ya mkataba. Hawa wajinga acha wamalizike tu.
Mwezi jana kupita Kibaigwa usiku nilikuta gari zimesimama na mimi nikaenda kushuhudia.
nikakuta vidume viko bize kumchomoa dereva wa boda na boda yake kanasia katikati ya akseli za nyuma ya tela.
boda waliowengi hawazingatii kabisa usalama kwasababu hawapatiwi mafunzo ya udereva.
Alitaka kuovateki roli wakati huo basi lipo mbele yake linakuja,mwisho wa siku akawekwa katikati huku roli huku basi.Yaani kaingia kwenye ekseli?
Alipita wapi
umepanic kwa sababu umeandika pumba zako,jibu swali tufanyaje ili tuishi mileleKama umesoma vizuri jibu lipo hapohapo,usinifanyie dhihaka tafadhali