Morogoro: Bodaboda wawili wafariki dunia kwa kugongwa na Lori

Morogoro: Bodaboda wawili wafariki dunia kwa kugongwa na Lori

Hapo Mwenge (DSM) kuna mmoja amekoswakoswa na daladala niliyokuwa nimepanda.

Nimetoka huko nakaribia mtaani kwangu kuna bodaboda mmoja kanikosakosa.
Yuko speed kali kwenye kona halafu kuna watu wamesimama barabarani.

Bodaboda wapuuzi sana.
 
BODABODA NI TATIZO KATIKA NCHI.

Sheria kali iwekwe kuwadhibiti na kuwaadabisha.

Vichwa vyao haviko sawa. Wapimwe na akili pia.

Unakuta jitu linakimbia hovyo, linaruka katikati ya zebra na kwenye mataa.. YAANII...

Wanastahili kufa. Ni wapumbavu KULIKO.
 
Kuna Boda mwingine kagongwa pale Hilux hotel maskini kijana mdogo sana hakuomba maji.Alhamisi kuamkia ijumaa, Wameshazika mtoto wa kitaa kabisa yule aisee nasikia lori limekimbia km mshumaa amezima.
 
Watu hawaoani ila wanachakatana tu mkuu.....kama limeruhusiwa hilo bas ni halali mkeo kuliwa na mleta mkaa na houseboy,bodaboda pia
Thubutu,,, nke wa ntu thumuuu, Siku hiz waleta masikhara kwenye ndoa za watu wanaziburiwa ntaro
 
Watu wa Jf mnachuki sana na bodaboda, walevi wanalewa wanaendesha ist, wala mirungi na viroba pia wanaendesha malori mkigonga pikipiki mnasingizia uzembe kuwa ni wa bodaboda.

Mtu ana overtake makusudi tuu bila kujali akiona mbele kuna bodaboda maana yeye yupo na gari anajua bodaboda lazima tuu ampishe,

Madereva wa daladala na bajaji unakuta sehemu hakuna kituo unakuta ghafla tuu kasimama kupakia abiria

Madereva wa ma bus, ligi yao ya kipumbavu wanapotoka stend asubuhi washagonga sana watu, wakiwa kwenye mabasi wanajiona nao ni wakubwa kama hayo mabasi
 
Na tutakufa kweli....Mungu adhihakiwi.Tumrudie Muumba wajamen...kilasiku mbususu mbususu utadhani ndo zimerushwa Leo dunian
Kwa hiyo tukimrudia mungu atasitisha vifo?
 
Bodaboda ni laana kwa taifa. Hawa watu...sijui wamelogwa?
Hata kama unatembea kwa miguu sehemu sahihi, bodaboda wanakufuata kama wanataka kukugonga. Mfyuuuuuu

yaani huwa nasema,njia za waenda kwa miguu hata zijengwe juu ya kamba kupisha boda boda,utashangaa wanapanda wanakupigia honi uwapishe.

for sure nachukia umasikini,ndio unafanya kazi za hovyo kama hii kuonekana ni ajira.

kipindi zinaingia 2006 kuna mhubiri(hawa wa mbengo zetafongokaaa)alikuwa anaongea anasema hizi piki piki ni mapepo zimeletwa kumaliza watu,kwa dharau nikacheka sana.kwa yanayoendelea napata ukakasi kukataa kauli ya yule mwamba.
 
Na tutakufa kweli....Mungu adhihakiwi.Tumrudie Muumba wajamen...kilasiku mbususu mbususu utadhani ndo zimerushwa Leo dunian
Africa hatuna akili na mipango tu, mbususu ulaya wanakula sana na ajali ni chache sana
 
Mwezi jana kupita Kibaigwa usiku nilikuta gari zimesimama na mimi nikaenda kushuhudia.

nikakuta vidume viko bize kumchomoa dereva wa boda na boda yake kanasia katikati ya akseli za nyuma ya tela.
boda waliowengi hawazingatii kabisa usalama kwasababu hawapatiwi mafunzo ya udereva.
tanzania ndio nchi pekee ambayo mtuanaweza kujifunza pikipiki asubuhi kisha jioni akaanza kubeba abiliria huko polisi wakiwa wanamjua fika mtu huyo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwezi jana kupita Kibaigwa usiku nilikuta gari zimesimama na mimi nikaenda kushuhudia.

nikakuta vidume viko bize kumchomoa dereva wa boda na boda yake kanasia katikati ya akseli za nyuma ya tela.
boda waliowengi hawazingatii kabisa usalama kwasababu hawapatiwi mafunzo ya udereva.
Na sasa wameongezeka madereva bajaji nao ni shida tupu
 
Mwezi jana kupita Kibaigwa usiku nilikuta gari zimesimama na mimi nikaenda kushuhudia.

nikakuta vidume viko bize kumchomoa dereva wa boda na boda yake kanasia katikati ya akseli za nyuma ya tela.
boda waliowengi hawazingatii kabisa usalama kwasababu hawapatiwi mafunzo ya udereva.

Yaani kaingia kwenye ekseli?
Alipita wapi
 
Yaani kaingia kwenye ekseli?
Alipita wapi
Alitaka kuovateki roli wakati huo basi lipo mbele yake linakuja,mwisho wa siku akawekwa katikati huku roli huku basi.
Siku iyo nilikua nimemaliza kula nyama choma na ugali,aise nilijuta kwenda kuangalia ile ajali,nilihisi nimetoka kula zile nyama za kwenye ile ajali.
 
Back
Top Bottom