Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kutokupiga picha ni uungwana pia
Pole yao wafiwa
Pole yao wafiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hatukomi kuhusu kuchota weseLeo hii njia ya moro ajali kibao, mikese tena nimekutana na ajali ya roli la mafuta wamegongana na gari ndogo ipo nyanganyanga, na vijana wanachota wese
Tanzania hatuna freeway ndugu.Boda boda haziruhusiwi kutumia highways, hii ni sheria isipokua politicians wanaangalia kura tu, ukubwa wa pikipiki hizi ni mdogo kuruhusiwa kutumia freeways, pia hawavai hermits za kujikinga na ajali ,ondoa bodaboda zote kwenye barabara kuu,Mbeya kwenye ile T1 ndio uchafu zaidi maana kuna bajaji ndani ya highway kibao
Poleni sana, mmeshajitawala zaidi ya 60 yes nchi haina freeways!,bado kuna njia za farasi?Tanzania hatuna freeway ndugu.
Eti mbususu mbususuNa tutakufa kweli....Mungu adhihakiwi.Tumrudie Muumba wajamen...kilasiku mbususu mbususu utadhani ndo zimerushwa Leo dunian
ALIYEUFANYA USAFIRI WA BODABODA KUWA WA KIBISHARA hakika anawamaliza Vijana wetuAisee maisha ni mafupi nimepita Bwawani -Moro mida hii ya saa 1 jioni kuna bodaboda wawili wamekanyagwa vibaya sana na lorry, kiufupi wamekufa, yaani vichwa havieleweki.
Msinidai picha nimeshindwa kupiga
[emoji1787]Na tutakufa kweli....Mungu adhihakiwi.Tumrudie Muumba wajamen...kilasiku mbususu mbususu utadhani ndo zimerushwa Leo dunian
Wow,vizuri but time will tell mkuuumeandika pumba zako,
Umejauje kama time will tell,ni wewe ndio unapanga ? Acha imani zako za kijinga lete factWow,vizuri but time will tell mkuu