Morogoro: Fumanizi la Wapenzi lasababisha kifo

Morogoro: Fumanizi la Wapenzi lasababisha kifo

Niliwahi andika hapa, juu ya vijana wa bodaboda kutokana na kuwa na mzunguko mkubwa wa fedha (kipato chake sio mpaka mwisho wa mwezi).
Wengi wana mahusiano na wanawake wengi,wengine ni wake za wenyewe.Anaweza kutenga 4000 ya kununua nusu kilo ya nyama kila siku kwa ajili ya mke wa mtu. Au anaweza kulipia fedha ya vikoba ya wanawake kadha kila siku. Au kuwa na mahusiano na mwanafunzi wa kike, binti akiamini uhakika wa usafiri kila siku anao.

Ukiisha mgundua kama ni mume mwenza, unachofanya ni kutafuta wadau wamkodishe muda mbaya na kwenda naye sehemu mbaya. Huko unachapa mtu na kuondoka na pikipiki, ambayo una kuja kuuza kama spare au chuma chakavu.
Uwezo wao wa kuweka AKIBA, wakafanya makubwa hawana.na kazi ile ina chanagamoto nyingi barabarani, leo una chombo kesho huna. leo umepata ajali na kuvunja mguu au mkono na kulala kwa miezi kadha hospital.
VYEMA KUWEKA AKIBA, NI VYEMA KUHESHIMU MAHUSIANO YA WENGINE
Bodaboda hela tunapata tatizo chupi
 
Aise nashukuru kwa kunijulia hali....bwana huyu bodaboda mwezetu tulimkanya mara kibao mambo ya kulala gheto la mwanamke sio...bora utuombe wana tukuoe gheto hakusikia...sasa tupo hapa tunafarijiana tuu.
Ila napiga mkakati na mie nikaonje utamu aliokuwa anapata maharagande
Kila siku hili linazungumzwa usilale kwa mwanamke ila watu hawasikii
 
Vitoto vya kipindi hiki sijui vina nini, miaka20 anaenda ozea jela kisa mapenzi 😞😞 so sad.
 
Unawasingizia tu bodaboda, tatizo ni umaskini na tamaa za hao abiria wanaopakizwa.
Niliwahi andika hapa, juu ya vijana wa bodaboda kutokana na kuwa na mzunguko mkubwa wa fedha (kipato chake sio mpaka mwisho wa mwezi).
Wengi wana mahusiano na wanawake wengi,wengine ni wake za wenyewe.Anaweza kutenga 4000 ya kununua nusu kilo ya nyama kila siku kwa ajili ya mke wa mtu. Au anaweza kulipia fedha ya vikoba ya wanawake kadha kila siku. Au kuwa na mahusiano na mwanafunzi wa kike, binti akiamini uhakika wa usafiri kila siku anao.

Ukiisha mgundua kama ni mume mwenza, unachofanya ni kutafuta wadau wamkodishe muda mbaya na kwenda naye sehemu mbaya. Huko unachapa mtu na kuondoka na pikipiki, ambayo una kuja kuuza kama spare au chuma chakavu.
Uwezo wao wa kuweka AKIBA, wakafanya makubwa hawana.na kazi ile ina chanagamoto nyingi barabarani, leo una chombo kesho huna. leo umepata ajali na kuvunja mguu au mkono na kulala kwa miezi kadha hospital.
VYEMA KUWEKA AKIBA, NI VYEMA KUHESHIMU MAHUSIANO YA WENGINE
 
Bodaboda,wanakula wake za watu sana,wadada wanaovunja ungo,wanaojihusisha na vikoba,wapenda chips n.k.
Pole sana kwa walioathirika.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo kwanza nicheke!! Hao wote unaweza Kuta ni vibaka unakamata vip mgoni wako kama mke haujamuoa?

Fuatilia hapo huyo jamaa kazaa na demu tu inawezekana hajamuoa vyote vichalii sasa hapo aliyemaliza mwenzie ni jela moja kwa moja.
Baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana hasa wanapotaka kuonewa huruma,yupo tayari kutoa machozi na akijua anaongea uongo,unaweza kukuta jamaa ni mumewe kabisa ila katoa maelezo hayo ili kikombe kumuepuke,siku jamaa akipatikana utasikia maelezo yake yanaweza kua tofauti na haya. Bahati mbaya wanawake 95% wana tabia hii ya kusema uongo,sorry kwa watakao kwazika ila ndio ukweli. Waungwana nahisi ni 5% tu.
 
Bodaboda,wanakula wake za watu sana,wadada wanaovunja ungo,wanaojihusisha na vikoba,wapenda chips n.k.
Pole sana kwa walioathirika.
Acha tuu tunalamba asali kweli kweli sie bodaboda. Tena ukute pikipiki ni yako ulishamalizana na boss basii full kupata utelezi tuu
 
Wakati mwingine wanakuwa form four leaver hao, wakishaonjeshwa mbususu na wazoefu waliozoea kujibinua kisawasawa na madoido mengine kibao ikiwemo kula koni kimadaha ya hali ya juu ndo wanakuwa hivyo. Hawasikii hata waonywe vp.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan mie ndo name waua?? Haya, mkamfukie mwenzenu huko, mchwa waanze kumtafuna, lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣Tunapata chai hapa na story za mademu zinaendelea. Mpaka tujue utamu uliompeleka mwana kulala hapo kwa demu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunapata chai hapa na story za mademu zinaendelea. Mpaka tujue utamu uliompeleka mwana kulala hapo kwa demu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya maombolezo mema, ya kumuweka mwenzenu ktk sehemu ya "mwana ndani"

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Shetani hana maana anakupeleka kufanya zinaa halafu anahakikisha umefia kwenye hiyohiyo zinaa

MITHALI 6:32​

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.​

Back
Top Bottom