Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Hili ni funzo la karne hakika hata gari la mafuta likisimama tu kawaida watu watakaa mita 1000 huku Africa ninkawaida kupata funzonkwenye maisha kwa kupoteza wapendwa wetu

Kwani hii ndiyo mara ya kwanza mpaka tuseme funzo? Ishawai kutokea ajali kama hii na wakafa watu zaidi ya hawa huko Mbeya.
 
aiseee pole kwa wafiwa. Mungu awapumzishe kwa amani
 
ALAFU MLALAMIKE SHIDA YA AJIRA KUTEKETEA
Ajali imetokea eneo la Mzambarauni (Nje kidogo ya Mji wa Morogoro). Inadaiwa kuwa waendesha Bodaboda waliojaribu kuchota mafuta wameteketea ktk moto huo

> Mpaka sasa chanzo cha Lori hilo kupinduka na hatimaye kushika bado haijafahamika

BODA BODA HIOO N FURSA KWA WENGINE KUPATA AJIRA. RIP BY THEWAY TAMAA IMEWAUA
 
Naripoti toka eneo la tukio miili ni mingi sana boda zimeharibika watu wameungua mno inasikitisha sana
 
Ugumu wa maisha, tamaa, ukosefu wa elimu na uelewa vitaendelea kulitafuna Taifa. Serikali ijitahidi kuwaelimisha wananchi juu ya hatari iletwayo na malori ya mafuta mara tu yapindukapo. Poleni wafiwa na wahanga wote wa ajali.
 
Duuh hapa kuwa na askari wa kuwazuia?

Wamesahau ile ajali ya Iringa miaka kadhaa nyuma. Karibu kijiji kizima kiliteketea sababu ya kusombelea mafuta ya bure. Moto ukishika unafata mtiririko wa matone ya mafuta yalipoenda, hivo hadi nyumba ziliungua.

May their soul Rest In Peace.
Hivi Polisi itafanya kazi ngapi? Hao siyo watoto wa miaka miwili
 
Hahaha sio tamaa na wivu kama huo wakijinga. ..

Kuna vitu una paswa kutumia akili vyema kabla haujavifanya. ...

Ila Kuna watu ni Majasiri sana ' Wanaweza hata kula nyama za watu kutokana na ujasiri wao ..Yaani mimi jinsi navyo yaogopa yale magari acheni tu aise
Dah....tamaa, wivu na uvivu ndiyo chachu kuu za maendeleo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mshahara wa dhambi ni mauti
Gari limepata ajali mnakimbilia kupora mali ya watu
Nina uhakika wote waliokufa walikua kwenye heka heka za kuiba mafuta
Mungu ametenda haki
Good riddance!
 
Sio malori ya mafuta tu mara kadhaa pia tumelalamikia tabia ya mabasi ya abiria kuingia sheli na abiria lakini mamlaka husika zimekaa kimya ipo siku tutapata majanga makubwa sana Mungu atuepudshe.
Hili la mabasi litakuja ua watu wengi sana
 
Ajali imetokea eneo la Mzambarauni (Nje kidogo ya Mji wa Morogoro). Inadaiwa kuwa waendesha Bodaboda waliojaribu kuchota mafuta wameteketea ktk moto huo

> Mpaka sasa chanzo cha Lori hilo kupinduka na hatimaye kushika bado haijafahamika

Njaa mbaya sana
R.I.P ndugu zangu mlioenda kuchota Mafuta.
Nafkir mlisahau ile Ajali iliyotokea Iringa iliyosababishwa na Lori.
 
Back
Top Bottom