Umasikini unauwa sana watu
Kweli kabisa mkuu. Likipinduka jingine leo hii bado watu wataenda chota. Wajifunze Nigeria huwa yanapinduka na kuua mamia ya watu lakini hawaachi na jirani yetu Congo yaliua kijiji. Tuwe makini sana.Dah, R.I.P kwaooo, hii issue mbona inatokea sana kwa nini binadamu ni wagumu kujifunzaa?
Njaa hupunguza sana uwezo wa kufikiri, ona sasa, wameamka a fresh meat, hata chai bado wamegeuzwa ndafu.
This only happens when your desire overcome your fear,
Never beat btn money vs death, the stake is too high, they died in the agony...
Njaa mbaya sana si tz tu hii hutokea ktk nchi nyingi tu za kiafrika ni mpaka hali za uchumi wa afrika zitakapokua sawaHii tabia ya Watanzania kukimbilia kwenye matatizo sijui itaisha lini! Kwenye bomu ndiko wanakokimbilia hv ni vifo vya kujitakia kabsa
Teh...kasema kabla halijalipuka...means baadae lilipuka [emoji56]Ilivolipuka vipi hao wajeda
Ndo nashangaa mijitu hapa inahukumu vitu isivyovijua mkuu 2010 kahama ilitokea inshu Kama hiyo tunawashukuru mabeberu wa buzwagi walituepusha na maafa kahama tungepata msiba wa hatari kipindi hichoGari la mafuta likilipuka hata ukiwa perimeter ya mita 100 hauko salama sababu ya 1.Moshi unatoa oxygen unaleta carbon monoxide 2.Joto
Miaka zaidi ya 22 iliyopita huko Nigeria walitoboa bomba la mafuta kuiba mafuta yaliruka juu angani yakatengeneza aerosol au mvuke matone moto ukawaka mahali ukafuata ule mvuke juu angani karibu ya mawingu ukaanza kushuka chini uliua watu 500 walikuwa mbali ya tukio karibu nusu kilomita
Mkuu acha kuwaza kutumia nguvu kila wakati. Imagine mabomu/ risasi kwenye petrol.Kuna Lori Moja la mafuta lilipinduka mbele ya mto ruvu nikakuta watu na madumu nikaandika humu jamii forums kuwa polisi nendeni mkawapige virungu na mabomu nikatukanwa Sana humu jamii forums kuwa Nina roho ya shetani nk kwa tamko langu lile ona sasa maafa hayo
hakuna la kushangaza mkuu....kwani wakati anawaleta duniani kuna mtu alimuhoji kwamba kwanini wamezaliwa?!.....hao ni mfululizo wa mwendelezo uleule wa maisha ya mwanadamu...sema tu wao sababu ni kuungua kutokana na mlipuko wa mafuta.....wametangulia na siku zao zimefika hata tupige kelele tutukane matusi yote na sisi tutakwenda wakati ukifika na hatuwezi kuzuia hata tuitoe hongo dunia nzima sasa,dahari na hata milele ...Hapa ndipo hua nachoka, Mungu apange gari la mafuta kupata ajali, kuwaka na kuuwa watu..? Kweli...?[emoji848][emoji848][emoji848]
Hapa nilipo kuna kituo cha mafuta ambacho kinaongoza kwa kuuzia watu petroli kwenye madumiu. Hii tabia itatuletea maafa hapo baadae. Basi la abiria linabeba madumu 20 ya petroli pamoja na abiria. Ipo siku isiyo na jina tutajutia huu uzembe. Vyombo vya usalama vimelala usingizi wa pono. Wataamka siku basi likiteketea na abiria ndani.Sio malori ya mafuta tu mara kadhaa pia tumelalamikia tabia ya mabasi ya abiria kuingia sheli na abiria lakini mamlaka husika zimekaa kimya ipo siku tutapata majanga makubwa sana Mungu atuepudshe.
Yeye anaonyesha umuhimu wa kutumia nguvu za aina zote ili kuzuia maafa kama haya. Bila shaka kama kuna umuhimu wa kupiga mabomu ya machozi hawapigi hovyo hovyo. Wanaweza kupiga kwa leongo la kutishia watu bila kuleta madhara. Wakati wowote lori la mafuta linapopata ajali inatakiwa watu wakimbie mbali na eneo.una akili kweli wewe...polisi wangepiga mabomu hapo kama ulivyoandika si ndiyo ingekuwa chanzo cha mlipo na maafa....ndugu vipi