Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,472
sasa utawaoneaje huruma wakati wameshatangulia mbele ya haki?Nashindwa kuwaonea huruma
labda uwaonee wake zao, watoto wao, wazazi na ndugu zao waliobaki
sasa utawaoneaje huruma wakati wameshatangulia mbele ya haki?Nashindwa kuwaonea huruma
Wengine hata hawajui hiyo danger mana ake kwanza wanaisoma kwa kiswahiliImagine
umasikini chanzo cha kukosa elimu, kukosa elimu mwendelezo wa mduara wa umasikini. Huna elimu, madhara ya kulipuka mafuta huyajui. Huna shilling mfukoni, madhara mbele yako unayajua, utachukua uamuzi mgumu wa liwalo na liwe. Tuungane kuupiga vita umaskini kwa nguvu zetu zote.
Du!, siamini!.
This is tragedy!.
P
Bodaboda huwa na tabia hizi ikitokea ajali wao ni kuiba tu,hapo watakua wamefariki wa kutosha
Ziweke basiNimeziona video Mzee Raia wanahitahi Elimu it’s very Sad na the way walivyokuwa wanalalamika na walioenda ni watoto, wanawake kwa wanaume yaani kama walikuwa bombani wanachota maji
Aisee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mpaka sasa watu wanaenda 100 dah janga lingine hili
Mimi naona si umasikini. Hapo ni ile hali ya kupenda vya bure. Jamani bure aghali!Duuuu.
Ila yote hii ni umaskini
Petrol inafata harufu kama Nyuki[emoji24][emoji24][emoji24][emoji119][emoji119]Watu wanasahau kuwa hilo sio lori la beer. Petrol ni hatari sana. Wapumzike kwa amani. So sad
Sasa tukaishi wapi mkuu [emoji28]Daah inatosha mkuu. ..sad sad sad sad ....uhhhhhhhhhh. ..Dunia sio mahali salama pakuishi
Umaskini acha tu mkuu. yani hapo mtu anakufa sababu ya Lita tano za mafuta[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mimi naona si umasikini. Hapo ni ile hali ya kupenda vya bure. Jamani bure aghali!
Hata kama mimi ni askari siendi. Kwani askari haungui? Ila nasi binadamu wagumu kuelewa kila mara watu wanaungua halafu lilindondoka lingine wanaenda kuungua tena.Duuh hapa kuwa na askari wa kuwazuia?
Wamesahau ile ajali ya Iringa miaka kadhaa nyuma. Karibu kijiji kizima kiliteketea sababu ya kusombelea mafuta ya bure. Moto ukishika unafata mtiririko wa matone ya mafuta yalipoenda, hivo hadi nyumba ziliungua.
May their soul Rest In Peace.
Inasikitisha sana aisee.InasikitishaView attachment 1177345