Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Inasikitisha sana....

Kuna siku nilikua njian to tanga,lori la gesi likashika moto berti na mfumo wa mafuta....kila mtu alikimbia gari lake na kutokomea maporini

Wakabak wajeda 4,tingo na dereva wakambana na moto mpaka wakaudhibiti kabla ngoma haijalipuka...

Kwenye msafara alikuwepo NB waziri wakat huo alikimbia bila viatu
kifo hakina waziri
 
Noma sana.....

Slope gharama,kuna huyo mmoja na Fekon yake pembeni amekufa kama yuko road anazichakata gear bado.
Mungu awarehemu vijana.
 
Hizi ajali za watu kuungua mafuta wakichota kwenye malori yaliyoanguka nazisikia mara nyingi sana nikiwa tangu mdogo,
sasa unajiuliza hivi watu hawajifunzi?

Kuna watu watawatetea kuwa ni masikini, ila hata kama watu ni masikini kiasi gani, utaendaje kubet maisha yako kwenye mafuta ya 10,000 au 20,000 tena kwa kifo cha mateso kiasi hicho?.

Kilichowapata wamekikaribisha wenyewe
Umenena vyema
 
Nashukuru kurekebisha sikuwa nakumbuka vizuri ila ilikuwa ajali mbaya sana.

Nakumbuka miaka ile mtangazaji wa ITV Reinfred Masako akajipatia umaarufu wakati wa kuripoti tukio....

Mwenye kibakuli haya, mwenye sufuria hayaa, mwenye ndoo haya, mwenye sababu haya ili mradi kila mwana kijiji aliona neema imewashukia na sasa wataanza kuuza mafuta kila mwanamkijiji alikiwa mbio kuchota na kwenda kuyahifadhi nyumbani kwake. Hapo mwili wote umelowa mafuta kwa haraka ya kupaki na kupakua mafuta kabla hayajaisha. Moto ukija unafata matone mafuta yakikoelekea....

Ukiwa na roho ndogo unaweza sema hawa wafanyabiashara wa mafuta wanayaangusha makusudi ili wapate damu za kutoa kafara.... yaweza kuwa kweli nyingine ni ajali za kawaida tuu.
Nilipoona tu hii habari nami nilimkumbuka Masako wakati huo wa kipindi cha Matukio ya wiki.
 
Hii imetokea muda si mrefu morogoro baada ya gari ya mafuta kudondoka na kuanza kuwaka moto na inasemekana idadi kubwa ya watu wamepoteza maisha
Inst-image-7.jpeg
 
RIP, pole kwa wafiwa, ila TAMAA MBAYA SANA, ni gonjwa sugu kwa Watanzania, TAKUKURU are having a field day, twapenda kufaidika kirahisi rahisi mno, iwe gari la soda, mikate (tena watu wanaenda kununua keki au mikate kabisa wanakula pale pale), petroli, mafuta ya kula, bia n.k.n.k....
Ila mbaya zaidi kuwasachi waliojeruhiwa au kufa! Natamani nitukane lakini najizuia sababu ya waliopoteza maisha,,,😡[emoji2959]
tukana tu hapa akili ikae sawa usije mtukana wife huko hana kosa
 
Back
Top Bottom