Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

Hiyo ilikuwa Mbeya


Nashukuru kurekebisha sikuwa nakumbuka vizuri ila ilikuwa ajali mbaya sana.

Nakumbuka miaka ile mtangazaji wa ITV Reinfred Masako akajipatia umaarufu wakati wa kuripoti tukio....

Mwenye kibakuli haya, mwenye sufuria hayaa, mwenye ndoo haya, mwenye sababu haya ili mradi kila mwana kijiji aliona neema imewashukia na sasa wataanza kuuza mafuta kila mwanamkijiji alikiwa mbio kuchota na kwenda kuyahifadhi nyumbani kwake. Hapo mwili wote umelowa mafuta kwa haraka ya kupaki na kupakua mafuta kabla hayajaisha. Moto ukija unafata matone mafuta yakikoelekea....

Ukiwa na roho ndogo unaweza sema hawa wafanyabiashara wa mafuta wanayaangusha makusudi ili wapate damu za kutoa kafara.... yaweza kuwa kweli nyingine ni ajali za kawaida tuu.
 
Duuh hapa kuwa na askari wa kuwazuia?

Wamesahau ile ajali ya Iringa miaka kadhaa nyuma. Karibu kijiji kizima kiliteketea sababu ya kusombelea mafuta ya bure. Moto ukishika unafata mtiririko wa matone ya mafuta yalipoenda, hivo hadi nyumba ziliungua.

May their soul Rest In Peace.
Uongo!!!
 
Kuna Lori Moja la mafuta lilipinduka mbele ya mto ruvu nikakuta watu na madumu nikaandika humu jamii forums kuwa polisi nendeni mkawapige virungu na mabomu nikatukanwa Sana humu jamii forums kuwa Nina roho ya shetani nk kwa tamko langu Hilo ona sasa maafa hayo
Kusikia kwa kenge hadi....?
 
Kuna Lori Moja la mafuta lilipinduka mbele ya mto ruvu nikakuta watu na madumu nikaandika humu jamii forums kuwa polisi nendeni mkawapige virungu na mabomu nikatukanwa Sana humu jamii forums kuwa Nina roho ya shetani nk kwa tamko langu Hilo ona sasa maafa hayo
Naukumbuka huo uzi
 
Duuh hapa kuwa na askari wa kuwazuia?

Wamesahau ile ajali ya Iringa miaka kadhaa nyuma. Karibu kijiji kizima kiliteketea sababu ya kusombelea mafuta ya bure. Moto ukishika unafata mtiririko wa matone ya mafuta yalipoenda, hivo hadi nyumba ziliungua.

May their soul Rest In Peace.
no rest kwa hao watu Kasie Mtata. wamekufa kwa uchungu. pole kwao
 
inauma sana dah
ngoja niwahi kanisani
Tabia za kupenda vitu vya burebure na kusahau mmadhara.

Watanzania wajifunze kuweka ubinadamu mbele, hawa ndio aina ya watu huenda kwenye ajali kuibia majeruhi mali zao.
​
 
Back
Top Bottom