Kibaoni singida
Member
- Jul 29, 2018
- 51
- 45
Ajali za kujitakia hizi tena gari limeandikwa danger bado unasogea
ndioUmeolewa?
Haliwezi kuwa funzo kwani si tukio la kwanza kutokea.Nawapa pole sana ndugu juhudi za kusaka maisha izo unaweza sema zari kumbe majanga kimsingi hili tukio litakuwa funzo kwa wengine
...... damu itokeKusikia kwa kenge hadi....?
Vizurii,nawaheshim sana wanawake walioolewa,wanajitambua.ndio
Mmmh Ingia pm mmalizanendio
Funzo mara ngapi? Hii siyo mara ya kwanza wala ya pili kutokea majanga haya. Watu hawajifunzi na yawezekana hawapewi elimu ya malori ya mafuta na maafa yake. Kila lori la mafuta liwe linaandika pembeni na nyuma ya tank kuwa kama likipinduka watu wakae mbali.Nawapa pole sana ndugu juhudi za kusaka maisha izo unaweza sema zari kumbe majanga kimsingi hili tukio litakuwa funzo kwa wengine
kwenye ubora waoBodaboda once again
Zama pm mkuu huwezi juaVizurii,nawaheshim sana wanawake walioolewa,wanajitambua.
Kweli unaroho ngumu tena sana japo ukweli unaumaKuna Lori Moja la mafuta lilipinduka mbele ya mto ruvu nikakuta watu na madumu nikaandika humu jamii forums kuwa polisi nendeni mkawapige virungu na mabomu nikatukanwa Sana humu jamii forums kuwa Nina roho ya shetani nk kwa tamko langu Hilo ona sasa maafa hayo
Ilivolipuka vipi hao wajedaInasikitisha sana....
Kuna siku nilikua njian to tanga,lori la gesi likashika moto berti na mfumo wa mafuta....kila mtu alikimbia gari lake na kutokomea maporini
Wakabak wajeda 4,tingo na dereva wakambana na moto mpaka wakaudhibiti kabla ngoma haijalipuka...
Kwenye msafara alikuwepo NB waziri wakat huo alikimbia bila viatu